Sasa kama huelewi kwanini hutendi haki unaendelea kutujazia mtindio wako wa ubongo hapa?
Hiyo asilimia 20 ni kidogo? Na nd'o maana Nyerere akaasa kwasababu wapo wanaotaka vyama vingi basi mfumo huo uridhiwe na nd'o demokrasia,idadi ya watu wale haikuwa ndogo.Na hata hao 80% waliokataa mimi nikiwa mmoja wao,tulifanya hivyo kwa sababu ya nia ovu ya watawala wa kipindi hicho waliokuwa wanatuchagiza kuwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi vya siasa ni kuleta vita vya wenyewe na umwagaji damu mkubwa utatokea kitu ambacho kwa ambao hatukuwa na exposure wakati huo tuliamini ni ukweli kabisa,but thanks be to the Almighty God kwa ajili ya 20% ile manake ndo ilyotumika kuungiza mfumo huu tulionao sasa.
Hajadanganya sema amekosea!Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wengi wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.
Mwinyi, sio Nyerere, hiyo tume iliundwa na Mwinyi na Mwinyi ndiye aliamuwa.
Mnyika, anaulizwa kuhusu katiba anaongelea kuhusu Nyalali, nakwambia huyu kijana kidogo ana matatizo ya Kichwa.
Sasa anaongelea uchumi na ushindani na vyama vya ushirika. Nakwambia hata sielewi anaongelea nini?
watu wa LB7 hamtakiwi kucomment chochote hapa ndani, ninyi someni tu afu habari mpeleke uhuru fm, kazi ya kucomment na kuchangia waachieni great thinkers . mmesikia enhe!Nape kapiga bao la kisigino.
Ahsante Nape.
Nani kafa mbona wote wamevaa nguo za msiba?
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wengi wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.
wanamuonea Nape kumpambanisha na JJ hii haikubaliki,haki za binadamu naomba waingilie kati!!!
Unanchekesha, ubalozi wa nini mie, labda nyie ndio wenye shida ya kazi. Mie nakula pension na kodi za Kariakoo kwa raha zangu.[
Kutwa kucha upo JF, do you have kids? do you have a significant other? what time do you spend with?

iko wapi hiyo JF? Hivi hujui kuwa JF ni virtual? hujui kuwa unaweza kuwa nayo sehemu yoyote? au hauna mawasiliano yaliyoenda shule?
Ulijuaje kama hatupo pamoja?
Can you please shut up madame,Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wengi wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.
Can you please shut up madame,
Watu tunasikiliza / soma mambo muhimu unaleta upuuzi hapa.
Hiyo asilimia 20 ni kidogo? Na nd'o maana Nyerere akaasa kwasababu wapo wanaotaka vyama vingi basi mfumo huo uridhiwe na nd'o demokrasia,idadi ya watu wale haikuwa ndogo.Na hata hao 80% waliokataa mimi nikiwa mmoja wao,tulifanya hivyo kwa sababu ya nia ovu ya watawala wa kipindi hicho waliokuwa wanatuchagiza kuwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi vya siasa ni kuleta vita vya wenyewe na umwagaji damu mkubwa utatokea kitu ambacho kwa ambao hatukuwa na exposure wakati huo tuliamini ni ukweli kabisa,but thanks be to the Almighty God kwa ajili ya 20% ile manake ndo ilyotumika kuungiza mfumo huu tulionao sasa.
Unajua hapa kijijini kwetu kupata mtandao ni kwa foleni na ukiingia basi ni kwa masaa. Haya yote yanasababishwa na serikali ya CCM, zaidi ya mika 50 ya uhuru, umeme ni mgao, Net kwa foleni na simu kodi juuiko wapi hiyo JF? Hivi hujui kuwa JF ni virtual? hujui kuwa unaweza kuwa nayo sehemu yoyote? au hauna mawasiliano yaliyoenda shule?

Inauma enh?