jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
- Thread starter
-
- #101
Hiyo kauli yako ya mwisho imeleta utata!! Et nguvu ya RUSSIA ni sawa...Mleta uzi samahani sana,huo ni udhalilishaji sasa...iweje namba 1 umweke dada ,alaf dume unaliweka namba 2? Unavyofanya sivyo.....nguvu ya Russia ni sawasawa na nchi zote za ulaya na marekani kwa ujumla...
Nimezicheki hizooUnanikumbusha movie za JarHead 2015 na American Sniper
Ha ha ha pple are so funnySasa ulivyoouliza kwamba us imetoa macho tuu inamhusu nini
Angalia sana na wewe usije mlazimisha mtoto kuwa mjeshi ili utimize ndoto yako kupitia kwake.Unawasikiliza sana wazazi kiasi kwamba unawaishia hata ndoto zao wakati zako umeziweka kapuni
Me nataka..!Kama uko tayari nitafute nikuunganishie uende
Ruksa kurekebisha mkuuhapama umetuchanganya mbona hapo kwenye russia army force naona M16 WHY
Kuwa hata mgambo mkuu.Mkuu kwa sasa nna miaka 30 na nishaoa...nadhani vigezo sina...ila kiukweli toka moyoni mwangu napenda kuwa mjeiwii sana...
pia Mi mtumishi wa umma....sidhan kama watanikubalia kubadili kada....
[emoji1] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Kuna jeshi la sungusungu hilo hata 50+ unajiunga
Labda marekani ya MANZESEMarekani alitia pua VIETNAM akaambulia kichapo atia pua tena kwa wavaa ndala AFGHANISTAN WATALEBAN wakamtoa jasho mpaka basi akaenda korea na kwenyewe akakutana na kizingiti yaani kila anakotia pua lazima ashindwe anabaki kuuwa watu tu wasiokuwa na silaha yaani huyu marekani hata TZ tukiomba nae mechi ya kirafiki ateremshe majeshi yake ardhini tunampiga kama kuku wa mdondo
Nilikuwa namjibu huyo aliesema sisi tutaumia vipi hajui nguvu ya nyukilia hadi huku kwetu itafika.Yap....na hata russia ana nyuklia weapons kama ilivyo kwa marekani!!
Kwanini uliitema Mkuu!?Pole best Kwa kukosa fursa hiyo kutumikiA jeshi. Mimi niliitema hiyo KAZI.
Cremia ni jumbo lilojitenga kutoka Ukraen, likajiunga Russia .IPO karibu na russia
Pole best Kwa kukosa fursa hiyo kutumikiA jeshi. Mimi niliitema hiyo KAZI.
watu wanazihack zinarudi hapo chini yaan ni sawa na kusimamisha mboo alafu MTU akadeal na kupiga kende mziki lazima usinyae mzee. Usicheze na watu.military base ya marekani ipo dunia nzima utapgwa kila angle aiseee dont play with america