Here is USA army force Vs RUSSIA army force

TUMEONA SILAHA NA UWEZO WA MAREKANI KUPITIA VITA MBALIMBALI SASA URUSI ANAGOMBANA NA KAKISIWA KALE KAKICREMIA
Usishabikie hayo mataifa mawili kupigana maana tutaumia wengi kama nyasi. Mrusi ana silaha, kwa waliowahi kuishi huko kama mimi, wanafahamu hilo maana huwa wana program za TV wanazoonyesha vifaa vyao, ni shida sana.
 
tutachoumia siye nn wakipgana wao wawili
 
Tangu zamani ilikuwa ni ndoto yangu kuwa mjeiwii ama efu efu yuuu....napendaga ubabe sana...Ni family background ndo zilifanya nisitimize ndoto yangu na kuishia kuwa mwalim...so sad in deed!!!!
Katika maisha yako tamani mapenzi ya Mungu yatimzwe na sio yako. Mshukuru Mungu ulipo.
 
Russia ni sayari nyingine aisee wao wanajipanga kummaliza kila mmoja kivyao yeye anawachukulia wote wa ulaya na America kama nchi moja
Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!
 
Mleta uzi samahani sana,huo ni udhalilishaji sasa...iweje namba 1 umweke dada ,alaf dume unaliweka namba 2? Unavyofanya sivyo.....nguvu ya Russia ni sawasawa na nchi zote za ulaya na marekani kwa ujumla...
 
Russia ni sayari nyingine aisee wao wanajipanga kummaliza kila mmoja kivyao yeye anawachukulia wote wa ulaya na America kama nchi moja

Usisahau pia Mfalme ni wa sayari nyingine...yani hapo umemaliza kila kitu na mjadala ufungwe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…