“Here is a truth you often don’t hear: Ukweli usiousikia mara kwa mara

FB_IMG_1656501736665.jpg
 
Traumatized women have the potential to become the most powerful people in this world.

The most ignorant members of society call this type of woman “damaged.” But she is the most powerful type of woman there is.

What they forget is that survivors have the most dangerous advantage of all: resilience.
Hizi conspiracy za magharibi kutudanganya wanawake wanawake while G7 wanawake 3 kama sio wanne... Ask why.. mwanaume atabaki kuwa mwanaume na hakuna kiumbe kina nguvu na umoja kama mwanaume ktk uso wa dunia.

Hii theory wanawake nisawa na wanaume ni theory ya kiyulusifa maana hata sikumoja haitotikea mwanaume kuwa mwanamke au mwanamke kuwa mwanaume. Kama hilo litatokea basi ndio utakuwa mwisho wa dunia.
Even on siasa taifa lolote linalosema linachaguwa watu kwa jinsia mwisho wake ni kiza kinene. End
 
swali lako lilikuwa na uhusiano gan na nilicho comment?
Uhusiano ni kujua jinsia yako na 'uhusiano' wake kwenye 'nature' ya maudhui uliyoandika. Content yako ni tatanishi kidogo na ndiyo maana ika trigger maswali niliyokuuliza.
 
Hizi conspiracy za magharibi kutudanganya wanawake wanawake while G7 wanawake 3 kama sio wanne... Ask why.. mwanaume atabaki kuwa mwanaume na hakuna kiumbe kina nguvu na umoja kama mwanaume ktk uso wa dunia.
Hii theory wanawake nisawa na wanaume ni theory ya kiyulusifa maana hata sikumoja haitotikea mwanaume kuwa mwanamke au mwanamke kuwa mwanaume. Kama hilo litatokea basi ndio utakuwa mwisho wa dunia.
Even on siasa taifa lolote linalosema linachaguwa watu kwa jinsia mwisho wake ni kiza kinene. End
Hii theory wanawake nisawa na wanaume ni theory ya kiyulusifa maana hata sikumoja haitotikea mwanaume kuwa mwanamke au mwanamke kuwa mwanaume
 
Hizi conspiracy za magharibi kutudanganya wanawake wanawake while G7 wanawake 3 kama sio wanne... Ask why.. mwanaume atabaki kuwa mwanaume na hakuna kiumbe kina nguvu na umoja kama mwanaume ktk uso wa dunia.
Hii theory wanawake nisawa na wanaume ni theory ya kiyulusifa maana hata sikumoja haitotikea mwanaume kuwa mwanamke au mwanamke kuwa mwanaume. Kama hilo litatokea basi ndio utakuwa mwisho wa dunia.
Even on siasa taifa lolote linalosema linachaguwa watu kwa jinsia mwisho wake ni kiza kinene. End
.......Hakika mwanamke ni wa ajabu"

Bwana akasema, "Hakika yuko ana nguvu zinazomstaajabisha mwanaume. Anaweza kustahimili shida na kubeba mizigo mizito. Anashikilia furaha, upendo na huzuni. Anatabasamu wakati anahisi kupiga mayowe. Anaimba wakati anahisi kulia, analia anapofurahi na kucheka akiogopa. Anapigania anachokiamini......
 
Nachojua mimi ni kuwa mwanamke ana upungufu wa akili na dini. Hii ikapelekea ya kuwa baadhi ya mambo yakawa ni yetu sisi wanaume na si yao, kama vile utume, unabii, na utawala.

Lakini kwa udhaifu wake wapo waliomfanya akawa kama bidhaa na yeye akiona anakombolewa, hapa ndipo utawashangaa Wanawake.

Nguvu ya mwanamke ipo sehemu ile ambayo sisi hatuwezi kufanya wanayo yafanya wao.

Ila hawa ni wenzetu lazima tuwapende, tuwajali na tuwasimamie.

Jinsia ya kiume imfadhilishwa mno kuliko jinsia ya kike, na hili si jambo baya.

Wanawadanganya wanao sema wanawake wanakuwa na nguvu huku jamii ikiharibika na kuoza, bali mwanamke amefanywa kuwa mjinga kuliko zama zote.

Nitarudi...
 
Uhusiano ni kujua jinsia yako na 'uhusiano' wake kwenye 'nature' ya maudhui uliyoandika. Content yako ni tatanishi kidogo na ndiyo maana ika trigger maswali niliyokuuliza.
mm nilijibu tu kuendena na iman zetu za dini zinavyoelezea uumbwaji wa wa mwana na mwanaume. Soma mwanzo 3:1-6 utapata jibu kuwa mwanaume alikuwa dhaifu ndio maana shetani akaamua kuanza na mwanamke akijua kabisa hiki ndio kiumbe kinachoweza leta pingamizi sana kuliko yule mwingne (adam).
 
Nachojua mimi ni kuwa mwanamke ana upungufu wa akili na dini. Hii ikapelekea ya kuwa baadhi ya mambo yakawa ni yetu sisi wanaume na si yao, kama vile utume, unabii, na utawala.

Lakini kwa udhaifu wake wapo waliomfanya akawa kama bidhaa na yeye akiona anakombolewa, hapa ndipo utawashangaa Wanawake.

Nguvu ya mwanamke ipo sehemu ile ambayo sisi hatuwezi kufanya wanayo yafanya wao.

Ila hawa ni wenzetu lazima tuwapende, tuwajali na tuwasimamie.

Jinsia ya kiume imfadhilishwa mno kuliko jinsia ya kike, na hili si jambo baya.

Wanawadanganya wanao sema wanawake wanakuwa na nguvu huku jamii ikiharibika na kuoza, bali mwanamke amefanywa kuwa mjinga kuliko zama zote.

Nitarudi...
Nguvu ya mwanamke ipo sehemu ile ambayo sisi hatuwezi kufanya wanayo yafanya wao.
 
mm nilijibu tu kuendena na iman zetu za dini zinavyoelezea uumbwaji wa wa mwana na mwanaume. Soma mwanzo 3:1-6 utapata jibu kuwa mwanaume alikuwa dhaifu ndio maana shetani akaamua kuanza na mwanamke akijua kabisa hiki ndio kiumbe kinachoweza leta pingamizi sana kuliko yule mwingne (adam).
Unaweza ku quote hilo andiko uliweke hapa kwa faida ya wengi?
 
mm nilijibu tu kuendena na iman zetu za dini zinavyoelezea uumbwaji wa wa mwana na mwanaume. Soma mwanzo 3:1-6 utapata jibu kuwa mwanaume alikuwa dhaifu ndio maana shetani akaamua kuanza na mwanamke akijua kabisa hiki ndio kiumbe kinachoweza leta pingamizi sana kuliko yule mwingne (adam).
"...akijua kabisa hiki ndio kiumbe kinachoweza leta pingamizi sana kuliko yule mwingne (adam)."

Unaweza kuthibitisha hayo maneno kutoka kwenye Biblia au Quran? Yameandikwa wapi katika vitabu hivyo?
 
Mwanzo 3:1-6
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?
² Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula;
³ lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.
⁴ Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa,
⁵ kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.
⁶ Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe, naye akala.

Unaweza ona hapo mstari wa 2 mwanamke alikuwa na uwezo wa kukumbuka maagizo waliyopewa ila shida yake ipo mstari wa 6 pamoja na kuambiwa kuwa walikuwa wamefumbwa macho wasione mema na mabaya lakin mwanamke anaoneka alikuwa yupo very curiousity kulinganisha na adam.

Unaweza endelea zaid na mistari inayofata uone utetezi wao ulivyo kuwa unaweza kugundua kuwa kuna mmoja alikuwa sifuri kabisa
 
Unahitimishaje mwanamke alikuwa more curious kushinda Adam, ilhali nyoka hakumuhoji Adam?
 
Nahitaji mistari inayosema, "shetani aliona mwanamke ndiye mwenye akili kuliko Adam hivyo akaanza naye", kama ulivyosema hapo awali.
 
Unahitimishaje mwanamke alikuwa more curious kushinda Adam, ilhali nyoka hakumuhoji Adam?
na kwann adam hakumuhoji Hawa kwann kachuma tunda la mti waliozuiliwa?

“Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe, naye akala.” Mwanzo 3:6.
Unaona hapo yeye mbali na kuona unafaa kwa chakula aliona pia unafaa kwa kupata maarifa
 
Nadhani mwanamke aliyekuwa na nguvu nyingi pengine hata kumzidi mwanaume alikuwa ni Lilith ambaye baadhi ya maandiko yanamtaja kama mke wa kwanza wa Adam aliyeumbwa sawa na Adam
Eva alikuja baadae Lakini akiwa kapunguzwa nguvu kwakuwa hakuumbwa kama Lilith bali alikuwa sehemu ya mwili wa Adam
Diablo%204%20Wallpapers%20-%20HD%20Desktop%20%26%20Mobile%20Backgrounds!.jpg
Lilith%20%2C%2012MXPR.jpg
 
She is fiery light birthed out of wintery darkness. Brought into the underworld by Hades, Persephone brings forth spring and rebirth when she reemerges finally from the cold.

She owns her shadows and seamlessly weaves them into the fabric of her freedom, creativity, imagination and independence. . . .
Lilith%20%2C%2012MXPR.jpg

Yeye ni mwanga wa moto uliotolewa na giza la baridi. Ikiletwa katika ulimwengu wa chini na Hadesi, Persephone huzaa majira ya kuchipua na kuzaliwa upya wakati anapoibuka tena kutoka kwa baridi.

Anamiliki vivuli vyake na kuvifuma bila mshono kwenye kitambaa cha uhuru wake, ubunifu, mawazo na uhuru wake. . . .
 
Back
Top Bottom