Here I come

@Mwita25 , mkuu anajiita The FaMa= MKULIMA.

Sasa si Ungeandika tu Kiswahili MKULIMA , au ndio mashiko ya Muiengereza mpaka leo .

@ The FaMa ,Ila karibu Kahawa na tende jamvini.
 
The FaMa=MKULIMA?????! HAPANA MKUU.

MKULIMA = Farmer NOT FaMa!

Nashukuru sana Mkuu kunikaribisha, nakaribia kuzoezoea humu ndani sasa.
 
Back
Top Bottom