Nikiona hakieleweki nitavunja ukaka halaf nambeba mwenyewe, ukaka wenyewe wa kizushi tu hauna zaidi ya kunibania maslahi. Nyambaaf zanguKweli asee, mwaka wake huu. Ogopa aliachwa mbele ya umma wa wana jf... Akikosa ya limpopo akaoge hata ya zambezi yatamfaa..
hehehe
nananaan naniniii nanana nanniii
Muhogo eeee andazi eee muhogo eee andazi eeee.
Dah! yaani bora ungenifananisha na marehemu kuliko huyo jamaa, anauzi ajabu.
Hapa bongo bana! wewe hujawahi kuona dereva wa truck anapewa u pilot wa ATC? samtaimu bongo kuna mpaka featuring ya shekhe na padre kwenye nyumba za ibada ili kunogesha sadaka.
Tatizo la hazbend wako ana kitambi, tumempelekea kipensi cha rejao hakikupenya hata kwenye mgoko. LalekiMpelekee haraka hicho kitenge changu jamani
Tutagombana kesho, leo siku nzuri sana
Shemu tukiitia sana chumvini itageuka limbwata..manake ladha ya chumvi si wajua ilivyo tamu? Unataka umwache husninyo au?Jana alienda Unguja mara moja anarudi leo, nadhani atakua melini saaii, anarudi Netwk itakua inamsumbua. Haya ndiyo nilikua nakumbushia msije kuisahau hiyo Nyama kuitia Chumvini.
Hahahha hahhhhahahha,Hane muni gani mnakaribia kumaliza mwaka hamrudi nyumbani, mnataka mkuje na mtoto kabisa au?.. Haya nakuchekea kwa leo tu vile umesema una habari njema za hane muni. Unipigie unambie ili nifurahi...
Hujawahi kusikia bendi inaitwa 'klorokwini mashauzi classic'? Ndiyo ya loya hiyo wifi.
Tablets acha bwanaa kumpasua Mamaa-Penzi ! Ukampeleka NASA ghafla kwa mshtuko!
Lol, thank you Kongosho. Hapo in bold nimecheka sana, ngoja nimuoneshe Hubby, siku hizi naona anaringa. Maybe he thinks sina alternatives zingine. lol
Jitahidi umwokoe swahiba.Nikiona hakieleweki nitavunja ukaka halaf nambeba mwenyewe, ukaka wenyewe wa kizushi tu hauna zaidi ya kunibania maslahi. Nyambaaf zangu
Hahahha hahhhhahahha,
Wifi mbavu zangu mie!!
Hiyo ndio jina la bendi ya kloro lol! hua inapiga wapi tukirudi nikahudhurie nione mauno ya loya hahahahah!
Asante swty wifi,
Kaka yako alipanga hane muni iwe miez 6 ndio maana wifi yangu,
Ile habari ni kuwa tayari kaka yako keshanirekebisha na tunatarajia mtoto baada ya miezi 8 ijayo lol!
Heee heee heee!Basu ujue una kopi, orijino iko Tandale.
Utaula wa chuya mwaka huu.
Worry not, am her superman. Soon atakuwa safeJitahidi umwokoe swahiba.
Mwambie pia leo mpo songea Rejao amlete na helikopta ya chama...Nekst wik tunapiga ifakara laivu, JF memba ni hafu price
Hehehe! Husninyo akisoma hapa lazima uzito uongezeke.Worry not, am her superman. Soon atakuwa safe
Orait dawa tamu,Nekst wik tunapiga ifakara laivu, JF memba ni hafu price
heheheh dah! helikopta ya chama?Mwambie pia leo mpo songea Rejao amlete na helikopta ya chama...
Asante, Karibu sherehenihongera ya kiukweli.
NA wewe hushindwi, waweza kula mayai yakoNikiona hakieleweki nitavunja ukaka halaf nambeba mwenyewe, ukaka wenyewe wa kizushi tu hauna zaidi ya kunibania maslahi. Nyambaaf zangu
Yaani hicho kitambi tunakifuga kuliko tunavyofuga uchumi wa taifa hili.Tatizo la hazbend wako ana kitambi, tumempelekea kipensi cha rejao hakikupenya hata kwenye mgoko. Laleki
Sisi mameneja tunavaa suti za kofi olomide bana,Orait dawa tamu,
Tukirudi tutakuja kuhudhuria,
Asa wewe wakati wa pafomansi hua unavaa msuli au skin jinzi lol!
Maana na mwonekano unahusu sana kuvutia mashabiki hahhaahah!
Nimeamua kujipongeza hepi besidei baada ya kutimiza mwaka hapa Efu jei.
Si mchezo, mwaka mzima ukiwa unafurahia kupasuliwa vichwa na watu usiowafahamu kimwili bali kimawazo tu.
Ni starehe ya aina yake kama kula pilipili huku inawasha.
Kiukweli, kila mmoja amechangia kuongeza japo sekunde ya kuishi na kutabasamu, ila huyu nanii kanipunguzia wiki nzima aaggrrrr, nikikukamata live on stage utanitambua maana unajijua.
Hivi niwapende au niwachukie? Mnanichekesha sana, kwa hilo nawapenda, ila mnaniudhi sababu mnanimalizia vocha zangu za mawazo yaani kibanda cha Mangi nadaiwaje kwa ajili ya kuwaona tu nyie.
Nina porojo nyingi tu za kuwaambia ila hapa intanet kefu muda umeisha.
Nisisahau kujipendekeza; mods nawapenda nawapenda akyanani, kama fulani siku hizi ni full maLike lol
Karibuni jioni pilau na kahawa pale kwa Mtogole, nimefunga turubai barabarani.
Njoo, kuna makila kitu