Hepi Besidei Kongosho - Ya kiongo ongo

Hepi Besidei Kongosho - Ya kiongo ongo

Leo nina mzuka wa kukemea mapepo kwel kwel, nifate hapa sinza makaburini upate upako wa loya
hahaha hahaha hahhaah,
Kutoka na uloya mpka ukemeaji mapepo lol!,
Mie sina mapepo bana,ila kuna mtu namdai,mzuka wa kusikiliza kesi utakua nao lini?
 
happy anniversary Kongosho, reading you is a pleasure I renew kila niwezapo.
 
Asante loya, kwani felo tablet yuko wapi?
Lazima atie baraka



Mie mmeo aliniambia yuko Arumeru Magharibi


Njoo, kuna makila kitu


Asante swit hat, nilikuwa na hamu ya sherehe mwezi huu hadi nimeipata lol

Hee heeee!
Huyo atakua pacha wake,rejao wangu nnae bisaidi yangu hapa lol!
 
Mbona klorokwini humpangii kazi?.. Yupo anazunguka zunguka tu wakati wenzie tuko busy kuhakikisha sherehe inafana!
Kazi yangu mimi itakuwa kiafya zaidi, nitahakikisha kwa upande wa kinamama hakuna alietumia mashine ya kusimamishia matiti kuilaghai audience. Nitakuwa vere serious na hii kitu
 
hahaha hahaha hahhaah,
Kutoka na uloya mpka ukemeaji mapepo lol!,
Mie sina mapepo bana,ila kuna mtu namdai,mzuka wa kusikiliza kesi utakua nao lini?
Nataka kustaafu, nimestukizia uloya bongo haulipi. Wabongo ni wambeya na washirikina nafkiria kujikita kwenye uganga wa kienyeji au talabu.
 
Kazi yangu mimi itakuwa kiafya zaidi, nitahakikisha kwa upande wa kinamama hakuna alietumia mashine ya kusimamishia matiti kuilaghai audience. Nitakuwa vere serious na hii kitu
Hahahaaa, kongosho mchunguze vizuri loya manake haiwezekani watoto 8 wote afu titi bado limesimama hivyo.

Hivi ina madhara kiafya eeh?
 
Nataka kustaafu, nimestukizia uloya bongo haulipi. Wabongo ni wambeya na washirikina nafkiria kujikita kwenye uganga wa kienyeji au talabu.
Hahaha hahaha,
Loya bana,unataka talabu,kiuno unacho?
Na zile swaga za kibwabwa utaziweza wakati akili iko kiloya zaidi si utaishia kuwasuuu wanaume wenzio?
 
Hahaha hahaha,
Loya bana,unataka talabu,kiuno unacho?
Na zile swaga za kibwabwa utaziweza wakati akili iko kiloya zaidi si utaishia kuwasuuu wanaume wenzio?
Kwani wifi hujajua kuwa klorokwini wa jf ndie bob junior?... Zubaa hapo shauri lako.


Afu bado nimekununia mpaka mwakani mwezi kama huu!
 
Khaaa, sherehe gani ina mikwara hivi?..

Wajua namtafutia nini? Chumvi hujaleta ndio nataka kumwagiza akanunue manake tumebandika nyama haijatiwa chumvi..

Hiyo nyama mpaka saivi, hamjaitia Chumvini tu ?
Itieni basi !
 
Hahaha hahaha,
Loya bana,unataka talabu,kiuno unacho?
Na zile swaga za kibwabwa utaziweza wakati akili iko kiloya zaidi si utaishia kuwasuuu wanaume wenzio?
heheeh stage show tutamuweka boflo wa JF, mimi nitakuwa naonekana mida za kukusanya mapato tu.
 
Nimemwona husband wake kule jikoni, kamwulize kwa afya yangu tafadhali.
heheeh huyu hazbend si jana tu kaanzisha uzi wa dadapoa wa mwanza? hehehe uskute presha ya ule uzi ndio ka husninyo kamelazwa zahanati ya mpwapwa.
 
Back
Top Bottom