heheeh nikajua upo cafe midda hii.Acha ubaguzi kijana, unategemea via mchina tutaonaje?
Hii quote umeitoa wapi? mimi nimeweka songi la hepi besdei bana sjasema eti!Wee loya, unasemaje?
Asante Don Mangi
Karibu shereheni, sema lolote kuhusu besi dei.
Wengine wanasema talikilishi mpakato badi raha tupu.
Ungepiga kuniuliza kwanza bana, huku kwetu cafe wanafungua sa 8 mchana!heheeh nikajua upo cafe midda hii.
Matangazo unaenda kutangaza nini? Maliza kumenya vitunguu afu ntakwambia pa kukukuta!.. Kaby alifika salama jana?
Leo nina mzuka wa kukemea mapepo kwel kwel, nifate hapa sinza makaburini upate upako wa loyaHongea bana X-mke mwenza kongosho lol!
Sie na baba watoto wangu bado tuko hane muni,
Tutahudhuria ya mwakan lol!
Nilikupigia ikapokea njemba bana, ikabidi niekti bubu mwenye sauti ya kike.Ungepiga kuniuliza kwanza bana, huku kwetu cafe wanafungua sa 8 mchana!
Thanks God wifi manake nilikuwa na wasiwasi, nilikupigia simu haipatikani nkajua labda ulipatwa na tatizo.nilidondoka kwenye mtaro mara mbili lakini nilifika my wii
Thanks God wifi manake nilikuwa na wasiwasi, nilikupigia simu haipatikani nkajua labda ulipatwa na tatizo.
Umeamka salama leo? Mean hakuna aliyekukera kabisa?
Ni mlizi wetu ungemwachia tu maagizo..Nilikupigia ikapokea njemba bana, ikabidi niekti bubu mwenye sauti ya kike.
Daah afadhali asee, ya jana ilikuwa kali manake uliamkia konyagi badala ya chai... Nakuombea siku iwe njema hivyo hivyo!leo niko vizuri kabisa nataka nipike chai.
Asante loya, kwani felo tablet yuko wapi?Hii quote umeitoa wapi? mimi nimeweka songi la hepi besdei bana sjasema eti!
Hongea bana X-mke mwenza kongosho lol!
Sie na baba watoto wangu bado tuko hane muni,
Tutahudhuria ya mwakan lol!
Njoo, kuna makila kituTarakinishi ilikua ni tafsiri ya zamani, to compute-tarakinisha, ikaonekana computer is more than computing thus the new word ngamizi came into existance.
Haya kuhusu besdei, mi si unajua kwenye sherehe sikai viti vya mbele? Is it a bottle party ili nije nimejiandaa kabisa?
Asante swit hat, nilikuwa na hamu ya sherehe mwezi huu hadi nimeipata lolHapy besdei konny kaby says she loves youuu
Hahahaaa ila za asili kuwepo si kufulia ni kutupa raha za asili siunajua mamabo ya banana wine si sawa na AmarulaAliyekuambia Tandale tumefulia nani?
Kuna John Walker, MacDaniels, Amarula for Ladies, red, white and purple wine.
Mbona klorokwini humpangii kazi?.. Yupo anazunguka zunguka tu wakati wenzie tuko busy kuhakikisha sherehe inafana!Haya bana,
Ila msiweke chumvi nyingi, mababu hawapendi sana.
Mlinzi gani anaongea kiswanglish?Ni mlizi wetu ungemwachia tu maagizo..
Una habari zozote kuhusu Husninyo?
Alifika ila dah nimemwambia asinisumbue tena coz kwanza amenifanya nimeshindwa kukaa hm na wifi yakoMatangazo unaenda kutangaza nini? Maliza kumenya vitunguu afu ntakwambia pa kukukuta!.. Kaby alifika salama jana?