Hehehe.......... hiyo kofia hawa wazembe wakiiona wanachanganyikiwa...heheeh half fellow tablet naona umekaa usawa wa panga ili camera isikunyake. na kapello yako ya kampeni za chadema
mimi nitalala na wewe leo
:A S 13:Unamtega babu ODM?
Wewe bana.... sasa na hapa wakati namfanyia ukaguzi Kabakabana hujachoka pia?Hiyo miguu ya konnie sina mbavu mie, na hapo ODM anapomfanyisha mazoezi mie ndo ngachoka!..
Unamwona Cantalisia alivyo mahiri wa kudandia daladala? Mi sijasema kama ye ni n'kazi wa Mbagaya.....
Hehehe... Vitz yenyewe kimeo, spana mkononi. Afu mtindo wako wa kuvaa kataK bado hujauacha? Ushakuwa mkubwa sasa...Canta hawezi gombania dala dala tena.....nimeshamilikisha Kavitz...
Unamwona Cantalisia alivyo mahiri wa kudandia daladala? Mi sijasema kama ye ni n'kazi wa Mbagaya.....
Hahaha hahha,nimefanyaje swaiba!Babu we ni kiboko ya njia kabisa..
Ah Cantalisia bana!
Khaaa!Hehehe... Vitz yenyewe kimeo, spana mkononi. Afu mtindo wako wa kuvaa kataK bado hujauacha? Ushakuwa mkubwa sasa...
Hehehe... Vitz yenyewe kimeo, spana mkononi. Afu mtindo wako wa kuvaa kataK bado hujauacha? Ushakuwa mkubwa sasa...
Kitu cha ukweli...mwambie papaa rejao hawezi kukubali uteseke kabisa!!Khaaa!
Babu umefananisha bana,ya kwangu ni opn rof rangi ya gold bana!
Hehehehe... wengine wanamalizia na bikini kabisalol...bora hawa boxer zao safi! kuna vijana huwa wananiacha hoi sana! unakuta kavaa hiyo sijui ndio kata K halafu boksa yenyewe chafuuuu,
Duh! kidume ndani ya G-string!!Hehehehe... wengine wanamalizia na bikini kabisa
Nishamwambia swty,Kitu cha ukweli...mwambie papaa rejao hawezi kukubali uteseke kabisa!!
Hiyo ndiyo imenichekesha zaidi....lol!:becky:@Rejao and ODM,
You are in.sa.ne, nimecheka kimsamba msamba!
Halafu nina hamu sana...ngoja nipate kahawa kwanza!Nishamwambia swty,
Hata ile picha aloweka nimeshamwambia ni ya pacha wangu sio yangu,
Come this way darling nikupe cha asubuhi lol!
Twende chemba tukapange vizuri...Afu tuje tukumbushie basi siku moja.
Hawa Canta na Babu wametuharibia, tulikuwa tunachekeshana kweli.
Hehehehe... wengine wanamalizia na bikini kabisa
Aisee hiyo chekaji yako khaa! Umekumbuka ile siku tulipokutana kwa mara ya kwanza?@Rejao and ODM,
You are in.sa.ne, nimecheka kimsamba msamba!