Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,385
- 289,498
- Thread starter
- #21
Kila ubaya utalipwaAliyefurumua mawe kwa lifu alizawadiwa ukatibu wa wazazi wa fishem huko tabora, anaitwa magege
Kila ubaya utalipwaAliyefurumua mawe kwa lifu alizawadiwa ukatibu wa wazazi wa fishem huko tabora, anaitwa magege
Wewe ni nani mpaka umtishe RPC?Tanga ni eneo lingine kabisa , kuwa Makini
Tahadhari hiyo sio kitisho, ndio mlivyofundishwa hivyo pale Moshi kambini?Wewe ni nani mpaka umtishe RPC?
Munguubaya utalipwa na nani? Erythrocyte
Tahadhari siyo vitishoWewe ni nani mpaka umtishe RPC?
Muongezee na lingine huyu afandeLeo umehamishwa Geita na kupelekwa Tanga , Japokuwa inasemwa kwamba UBAYA HAUNA KWAO , lakini Tanga ni eneo lingine kabisa , kuwa Makini
[emoji38][emoji38][emoji38]Muongezee na lingine huyu afande
Kambi gani, ya red brigade?Tahadhari hiyo sio kitisho, ndio mlivyofundishwa hivyo pale Moshi kambini?
Pale Njia ya kwenda kcmc kushoto ukivuka chuo cha ushirika. MuccobsKambi gani, ya red brigade?