Henry Matata: Dr. Slaa mwongo no. 1 duniani

Upepo wa kisiasa 2010 ulizoazoa hadi nzi!
 
Endapo akina Henry Matata wameamua kutumia njia hii kumdhoofisha Dr Slaa na Chadema basi naona kama wamepoteza step, maana bado kuna muda mrefu sana wa Dr Slaa na Chadema kujisafisha.

Hivi kile chuo cha siasa cha magogoni kilikufa? CCM si ingepeleka vijana wake hapo wakajifunze siasa za kizazi kipya badala ya siasa hizi zinazoijenga chadema?
 
Leo nimemsikia Matata akiongea huo utumbo aliotumwa na CCM. Kasema ana jeshi la kupambana na yeyote........
 
Duh!, Kumbe mwisho wake ni KESHO KUTWA tu, basi apewe nafasi tena kesho amalizie gharama za malipo yake!. au ANALOJIA za ubongo zinafungwa lini?
ku'format ubongo ni issue sana aisee... asubiri kifo tu.
 
Hayo ni machache tu, kwa machache hayo mimi nimeelewa kama mtu asiye timamu sijui wewe mwenzangu kama ndo meya huyo kweli ni wa kichina kama CHADEMA wanavyomwita huku, na pia CCM watatumia hiyo nafasi vilivyo kufanikisha mipango yao.
Mkuu Dr. Mwakabanje, hayo usemayo ni kweli. Mimi niliwahi kusema hivi, kuhusu baadhi ya viongozi wa Chadema katika uzi wangu huu CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga!

Nilishauri Chadema wakitumie kipindi hiki kujitathmini kwamba baadhi ya hao waliochaguliwa, will they stand a chance in 2015?, ili wapange timu ya ushindi mapema kabla, na sio kusubiri mpaka kipenga cha mwisho kipulizwe, kuna uwezekano ikajikuta inayarudisha baadhi ya majimbo ambayo wananchi waliwapigia kura vagombea wa Chadema with very high expectations on them, wakilinganisha na kinachoendelea, wanakuwa disapointed na 2015 wanaweza wakaamua bora kuendelea na lile 'zimwi' likujualo.

Pasco.
 
"Mimi nilichukua mil. 20 na Chagulani alichukua alichukua mil.10 pale kiwanda cha coke" kaul y Matata ktk Harambe Igoma
 
Chadema imeingiliwa na wahuni!,waciojua Siasa ni nini!na Cdm kisipokuwa makini na hao watu! 2015 kuna kazi ya Ziada!
 
TAKUKURU wanafanya nini hiyo haikua hongo?
 
Mkutano Mkuu wa ccm uliona kuwa adui wao mkuu ni CDM na mtu hatari kabisa katika CDM ni Dr SLAA, hivyo wakajiapiza kuwa ni lazima wamchafue kwa gharama yeyote ile na ndo mana hata wale waliokuwa wanajiita Mitume 12 wa ufisadi wamekaa kimya kwani nafsi zao zinawasuta katika mbinu hii iliyopitishwa na chama chao. Waliambiwa na mwenyekiti wao kuwa hakuna ambaye atapona aliyopo CCM endapo Dr Slaa atachukua nchj na yeye uwezekano wa kuchakachua matokeo utasababisha vurugu ambazo hayupo tayari kwenda THE HAGUE. Ndo maana watuhumiwa sana katika kashifa za kifisadi ndo wachezaji wazuri wa mpango huu, kama mzee wa Pembe za Ndovu, wazee wa EPA n.k..........Watanzani TUAMKE raslimali zetu zinakwisha.
 
 
Wear weraa CHADEMA, kamchicha ka kisiasa mlikokapanda mkifikiria ni mbuyu kanakwenda na upepo, maji yenyewe ya 2015 baado hayajafika!
 
Those who were dancing were thought to be insane by those who could not hear the music.
 
Wear weraa CHADEMA, kamchicha ka kisiasa mlikokapanda mkifikiria ni mbuyu kanakwenda na upepo, maji yenyewe ya 2015 baado hayajafika!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/375917-chadema-yateketeza-ccm-kwimba.html#post5330167
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…