Jaman wanaharakati ningependa kuwakilisha hoja yangu kuhusu huyu mtangazaji wa ITV....
Kiukweli ni kati ya watangazaji wabunifu sana mpaka anavutia anaporipoti...
namtakia mafanikio mema katika safari yake ya utangazaji.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.