Hembu Msome huyu Jamaa - Dr. Pona

Hiyo namba 14 katu mimi pamoja na ndugu zangu wa Nyanda za Juu Kusini, Nyanda za Juu Kusini ma hili lipelekwe huko Kanda ya Kasikazini. Ni ushauri tu, sitaki ugomvi.

 
Toka yule babu feki aseme anatibu ukimwi kwa kikombe cha mia tano sina hamu tena na hawa waganga feki
 
Ma dr wanaotibu maganjwa sugu wote hufuatwa na sio wao kufuata wagonjwa tafakariiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…