Jamani nazani mnaona title inavyosema so kama kuna m2 anazijua poa 2saidiane bc
Hauko serious, unatakata proxy kwenye thread?
apo sikupi jamaa utakua spy
mie ninazo. na siamini kama zinablokiwa TZ. najua ni nature yake , free proxy kufa kila baada ya kipindi fulani.
same day zinapokufa india na hapa zinakufa na dunia nzima huwa hazifanyi kazi.
sasa niambieni niziweke hapa au....... bado munaamini proxy zinablokiwa??
maoni yenu ndio muhimu.......
tafadhali usini PM kuomba proxy

mie sikatai kuwa zinakufa, ila pia zinablokiwa, mara kibao proxy zimeblockiwa na naletewa ujumbe kuhusu iyo proxy blocked na either isp au website utakuwa unaitumia
unashauri je hapo mkuu sasa
mie ninazo. na siamini kama zinablokiwa TZ. najua ni nature yake , free proxy kufa kila baada ya kipindi fulani.
same day zinapokufa india na hapa zinakufa na dunia nzima huwa hazifanyi kazi.
sasa niambieni niziweke hapa au....... bado munaamini proxy zinablokiwa??
maoni yenu ndio muhimu.......
tafadhali usini PM kuomba proxy
10.168.20.80
kumbe bro ulisha zipata proxy zenye resume capabability... najua nawe uliangaika sana na uliweka nyuzi hapa japo HATUKU KUITA spy lkn leo nashangaa Maneno unayotoa