download dc unloacker kisha ichomeke modem yako ikifunguka application ya kuconnect ikate then skan modem yako kwa kuchagua MANUFACTURE ZTE MODEMS, MODEL weka auto detect then bonyeza kale ka lenzi. ikimaliza kuskani bonyeza UNLOACKING kisha ENABLE DIAGNOSTIC PORT IKIMALIZA ITASOMA UPYA application yake itafunguka then connect tatizo hili huwa linasababishwa na vitu viwili kuran kwa kutumia port moja endapo itatokea tena fanya hivyo hivyo maana ikijidiskonect mara tatu modem huwa port zake zinajifunga kwa hiyo hata ukienda kwenye PC nyingine itagoma suruisho mimi huwa napiga window chini