Help

hata mimi nimenotic hicho kitu jana nikajua labda bandle ya tigo niliyoitumia kwa mara ya kwanza jana ndo hairuhusu youtube. Nimehangaika sana kuifungua youtube jana bila mafanikio.
 
Back
Top Bottom