Help..

Help..

Qt B

Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
78
Reaction score
4
My Nokia N81 imeharibika display,inawaka but haioneshi kitu...naomba kumpata fundi mzuri anaeweza kunisaidia kwa bei poa jamani...nipo Dar...naimiss sana simu yangu kwa intanet nzuri...
 
Pole...Itume Arusha ntakusaidia kwa haraka....
 
My Nokia N81 imeharibika display,inawaka but haioneshi kitu...naomba kumpata fundi mzuri anaeweza kunisaidia kwa bei poa jamani...nipo Dar...naimiss sana simu yangu kwa intanet nzuri...
..kama uko DAR peleka MIDCOM...pale upanga..
 
My Nokia N81 imeharibika display,inawaka but haioneshi kitu...naomba kumpata fundi mzuri anaeweza kunisaidia kwa bei poa jamani...nipo Dar...naimiss sana simu yangu kwa intanet nzuri...

Mkuu Qt B,
kuna fundi alishaitengenezea Navigator yangu (6110). yuko tabata bima, nlimkubali maana mwanzo nilikuwa na wasiwasi, lakini ikapona fresh tu, sikumbuki jina lake, ila namba yake ni 0714179191
 
Last edited by a moderator:
we muulize tu Kipipi,jibu atakalokupa niambie.
Hahahaa Kipipi hawezi kunitelekeza mimi akufuate wewe...mi ndio jirani yake akipata shida usiku wa manane mi ndio wa kwanza kumsaidia.....akiomba mchi nampatia lol
Jirani yako ndio wa kwanza kukusaidia....
 
Last edited by a moderator:
hahahaa Kipipi hawezi kunitelekeza mimi akufuate wewe...mi ndio jirani yake akipata shida usiku wa manane mi ndio wa kwanza kumsaidia.....akiomba mchi nampatia lol
jirani yako ndio wa kwanza kukusaidia....

mnachakachua thread hadi huku?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom