Help Windows 8.1 Not detecting Huawei Modems

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,745
2,338
Hi
Nimekomaa kwa kipindi cha miezi miwili lakini laptop yangu imeshindwa kuwa ina detecting Huawei Modems mpaka labda ni Uninstall Dahboard za Huawei afu ni re-install upya lkn niki disconnect bado shida itabaki pale pale PC haito detect Hiyo Modem labda mpaka restart laptop kama mara 5 hivi ndo itatokea chance moja iweze ku detect.

Kitu cha kushangaza same modem nikiweka kwenye PC ya windows 7 inakuwa detected hapo hapo na pia hii PC yenye windows 8.1 nikiweka modem ya ZTE inakua detected instantly na naconnect bila shida

Msaada tutani hapo wadau wenzangu sitaki kuiacha windows 8.1 maana ndo imekuja inbuilt
 
Mko mkoa gani?
Kama upon Dar fika pale Vodashop mlimani kuna gwiji wa mambo yote ya modem laptop na Internet plus smart phones. Jamaa anaitwa James aka Mzee wa device arena..kwake ni kitu kidogo tu hiko
 
ok...we wish angekuwa hapa

ila umuhimu forum bila shaka unaujua pia...mtu wa Vodashop yupo ku savr customers wake na mm sio mmoja wao sijui hapo itakuwa je
 
Nina maswali machache kabla sijaanza kukusaidia. Hiyo windows 8.1 imekuja installed kwenye computer au ni uli install mwenyewe. Maana najua watu wengi huwa hawa chukulii serious kwenye ku install proper drivers since windows tayari ina generic drivers.

Ukitaka hiyo modem ya ZTE i detect, nenda kwenye website ya ZTE au hata Google kisha download driver ya ZTE modem
 
Ilikuja iko poa ghafla ikabadilika....

Juzi nime factory reset yaani Nika reinstall windows 8.1 lkn tatizo limebaki pale pale

Utapoteza muda wako ku-format na ku reinstall OS. Ili device yoyote iwe detected kwenye computer unahitaji ku install driver ya hiyo device unless windows ime include driver ya hiyo device kwenye OS.

Solution ni ku download driver ya ZTE modem kisha install. Ukishindwa ku download nifahamishe mimi nina driver ya ZTE
 
Mkuu ni sahihi drivers ndo zinaweza kua shida lkn nikichomeka modem inanambia Installing drivers cha kushangaza nikichomoa haisomi tena sijui zipo corrupt

Na tatizo lipo HUAWEI Ila ZTE haina shida
 
Mkuu ni sahihi drivers ndo zinaweza kua shida lkn nikichomeka modem inanambia Installing drivers cha kushangaza nikichomoa haisomi tena sijui zipo corrupt

Na tatizo lipo HUAWEI Ila ZTE haina shida

Hiyo pia inaweza kuwa tatizo, ndio maana nika sema download drivers kwenye internet kisha install kabla hujachomeka hiyo modem
 
Hiyo pia inaweza kuwa tatizo, ndio maana nika sema download drivers kwenye internet kisha install kabla hujachomeka hiyo modem

Thanks mkubwa for your concerned

Efforts zangu za kusaka hizo drivers net zimekua in vain tu zaidi nimejikuta nainstall software za ajabu ajabu tu zikidai zinaweza ku update huawei drivers

Nimecheki manufacturers website kwa search button ila sijaona hiyo kitu na mm navyojua drivers zinakuja kwenye modem na ile first instance niki plug modem inaonesha kabisa "Installing Huawei Drivers" labda kwa mwenye hizi drivers ali direct kwa link

Nilifanikiwa kuona hicho kitu cha huawei drivers softpedia ila nazo kama hazikusaidia kitu
 
Nina maswali machache kabla sijaanza kukusaidia. Hiyo windows 8.1 imekuja installed kwenye computer au ni uli install mwenyewe. Maana najua watu wengi huwa hawa chukulii serious kwenye ku install proper drivers since windows tayari ina generic drivers.

Ukitaka hiyo modem ya ZTE i detect, nenda kwenye website ya ZTE au hata Google kisha download driver ya ZTE modem

asante mkuu hiyo windows 8.1 ni imekuja na PC ile ukiwasha tu PC inaanza installation process ya windows 8.1

Drivers nyingi nimeona magumashi mtandaoni even manufacturers website search result hamna kwa case yangu nasaka za Huawei wengine utakuta wameweka mobile partner eti ndo ina drivers lkn nazo hazikusaidia kitu

25i200k.png
 
Mkuu wa Mavoko heri ya Mwaka mpya... Hiyo ngoma kama una software yeyote ya huawei uliweka kabla nakushauri uninstall kisha anza moja kuweka.
 
Mkuu wa Mavoko heri ya Mwaka mpya... Hiyo ngoma kama una software yeyote ya huawei uliweka kabla nakushauri uninstall kisha anza moja kuweka.

Heri ya mwaka mpya pia mkuu
Yaani nili reinstall windows kwa kufuta kila files na s/w ila bado haijasaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom