Sam pizzo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 846
- 515
Habari za Leo wakuu! Nime unlock airtel modem MF 190 few weeks ago nikatumia Pasi na shida lakini baada ya Ku update windows 10 ya PC to latest haiwezi kudetect modem,nikahisi labda ni drivers zinamiss bt even Niki connect kwa PC ya windows 7 still modem not detected