Help, she confessed to me that she's a lesbian!

Help, she confessed to me that she's a lesbian!

Hoshea

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,420
Reaction score
3,776
This is serious, there's this beautiful mchumba of mine vry beautiful I've been dating for close to 2 months now.

She's been quite loving and shows so much care and affection. I really love her and she feels the same way about me. Recently she confessed to me that she wuz lesbian.

This came as a rude shock to me, cos she doesn't look anything like dat na alivokuwa ananambia she was downhearted wrinkling her fingers nkakosa cha kumwambia ikabidi stry nibadilishe mana nilishikwa na butwaa. With this fact revealed bado namfeel wakuu, but I'm in a dilemma right now, and I don't know if this would eventually jeopardize our relationship in the nearest future.

I need advise plz..
 
mi nilimpenda tu kama alivo opposite sex attractive i fell to the prey tukapeana macontacts then one thing led to another, and she acts normally like a lady tukingonoka though sometimes ana vitabia vya kiume ume , sasa hayo mapungufu ndo yamenshtua hadi ikabidi nije omba ushauri humu, kama wanabadilika au inakuwaje.
 
Nakushauri mpokee km alivyo,kw vile ameamua ku confess kwako,it means anakupenda pia anakuamini. Cha msingi muoneshe mapenzi ya kweli atakuwa mpenzi bora kama wengine.
 
Ndugu yangu Hoshea,

Kenge daima atabaki kuwa kenge, nyoka ni nyoka daima, mjusi, simba na panya vile vile....

Ila kama uko tayari mshindane kukimbizana na videmu mtaani...go go go for her na usiangalie nyuma...

Vinginevyo, mkasaini mkataba wa kisheria kabisa kwamba kweli mjusi amekubali kubadilika na sasa atakuwa kinda la njiwa!!

Best wishes,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Dah!! Nataka kufahamu je mkiwa wote anafikia orgasm kama kawaida na bila matatizo na pengine kwa wingi? Kama anafikia ina maana ana feelings na wewe. Na je mmeshaongelea suala hili na kuwa ameahidi kuwa ataacha au ameshaacha? Maana ni kama gay anaamua kuoa!!! Je ataacha!!! Inatesa sana!!!
 
Aisee mie sidhani kama huyu mtu anaweza kubadilika na kuwa mtu mzuri...Tatizo la hawa watu huwa wana vijitabia vingi sana vya kiume na ubabe ubabe usio na maana so ni bora ukapiga chini tu mkuu...heri nusu shari kuliko shari kamili
 
Aisee! Kuna lesbo mmoja aliolewa na mwanaume, in a year baada ya harusi wakaachana. I think she still is, manake we never discuss our sexualities.

Kazi ni kwako baba. Ila ujue tu siku ukimkera huyooo!
 
This is serious, there's this beautiful mchumba of mine vry beautiful I've been dating for close to 2 months now. She's been quite loving and shows so much care and affection. I really love her and she feels the same way about me. Recently she confessed to me that she wuz lesbian. This came as a rude shock to me, cos she doesn't look anything like dat na alivokuwa ananambia she was downhearted wrinkling her fingers nkakosa cha kumwambia ikabidi stry nibadilishe mana nilishikwa na butwaa. With this fact revealed bado namfeel wakuu, but I'm in a dilemma right now, and I don't know if this would eventually jeopardize our relationship in the nearest future. I need advise plz..

Ameconfess kwako kuwa ameacha hizo tabia, je kuna namna yeyote ile ya wewe kuthibitisha kuwa ameiacha hiyo tabia? Nafikiri jibu ni "NO", na kama ni hivyo, una options mbili 1. Kuendelea naye na kuwa tayari kwa lolote na kubeba mapungu yeyote yaliyoko na yatakayotokea. 2. Kuanza ukurasa mpya wa maisha

Kingine, kwenye hiyo tabia yeye alikuwa anabeba uhusika gani mke au mume au vyote? Maana wadada wanobeba uhusika wa mume kwenye hiyo tabia ni hatari zaidi nimewahi kuwasikia wakiharibu vijana taratibu wakati wakiwa zoezini kwa tabia zao za kiume na michezo ya kiume. Kuwa makini.
 
Huyo alikuwa hivyo si kwa kupenda. inawezekana mazingira aliyokuwa nayo (LIFE STYLE) ndiyo iliyompelekea huko. If she were real resbo she would'n confess to U, unless useme ulimlazimisha aseme. Kama unamfeel nadhani unatakiwa kumsaidia ili aondokane na hiyo guilty consciousness inayomuumiza.
 
Sometimes Resbo na gays ni tabia za kujifunza na kuzoea kutokana na mazingira. Wakati mwingine ni tabia za kuzaliwa. Nimewahi kuwa na galfriend wa aina hiyo. Ingawa nilifanikiwa kuzaa naye, sikufanikiwa kumuachisha tabia hiyo. Mwisho wa simu Nilichokuwa nafanya ni ku-do na gals wake (threesome). Hata hivyo baadae niliamua kuoa a staight gal. nasikia bado anaendekeza libeneke maana sina contact naye directly.

Kama alzoea hivyo kutokana na mazingira anaweza kuacha. Give her sometime na ukiona inaendelea chukua time
 
yah she luvs me, muda wote huu anatreat safi sana since i knew her, sa sijui ni vile bado kipya kinyemi, thanx for advice ntamwuliza then i'll decide from there
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom