Help, she confessed to me that she's a lesbian!

Help, she confessed to me that she's a lesbian!

yah she luvs me, muda wote huu anatreat safi sana since i knew her, sa sijui ni vile bado kipya kinyemi, thanx for advice ntamwuliza then i'll decide from there


anatafuta cover tu huyo, unajua kuna maLesb na maGay wengi wanjificha kwenye ndoa, ili jamii zao zisiwaone ni wa tabia hizo
 
At least she has been honest with you at the very early days. The truth has set her free and now the ball is in your court my brother. Ni ngumu lakini nadhani swali la kujiuliza ni " Can you honestly handle that fact and never let it affect your judgment in future?! Ongea nae, find out what led her to it...ni zile za peer pressure or is it something that she is really into? All the Best!
 
je hao wanaokuambia uachane nae waliwakuta madem zao au wao hawajado? au wewe hujawahi kudo? kama jb ni ndiyo mteme ila kama umeshado hata wewe unahitaji ushauri juu ya mahusiano yako ya zamani kwa maana hiyo jaribu kukaa nae chini ujaribu kuzijua hisia zake zimeegemea wapi ila kisaikolojia inaonesha ameamua kutoka huko ndo maana amekueleza ukweli so kama unampenda msapoti kwa style ya kumtoa huko
 
she was, YES! she is, I DONT NO . That is which
 
sijakuelewa babu, naomba ufafanuzi zaidi?


I meant, unatumia kipimio gani kujua kwa uhakika kabisa (with high level of certainity) kuwa mtu anakupenda kweli na siyo msanii?

Sie wa 1947 tunapata taabu kuwaelewa na mambo ya love love mnayoimbiana siku hizi!

Babu DC!!
 
This is serious, there's this beautiful mchumba of mine vry beautiful I've been dating for close to 2 months now.

She's been quite loving and shows so much care and affection. I really love her and she feels the same way about me. Recently she confessed to me that she wuz lesbian.

This came as a rude shock to me, cos she doesn't look anything like dat na alivokuwa ananambia she was downhearted wrinkling her fingers nkakosa cha kumwambia ikabidi stry nibadilishe mana nilishikwa na butwaa. With this fact revealed bado namfeel wakuu, but I'm in a dilemma right now, and I don't know if this would eventually jeopardize our relationship in the nearest future.

I need advise plz..

Ask her who is her partner and marry them both, you'll have a great deal!
 
be far from her

Huu si ushauri sahihi!

Kukiri ni ishara kuwa anajutia hilo jambo na inaonekana yupo tayari kuacha
Ni jukumu lako kuwa naye karibu na kumsaidia kuacha hiyo tabia!
Ni mwanadamu huyo, hii ni sehemu ya mapungufu yake!
Heshimu hisia zako na zake, asije akaoptea zaidi ilihali unaouwezo wa kumsaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom