Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 216
habari wadau Nataka ninunue Moja ya hizi simu hapa Samsung galax pocket S 5300 au Tecno N3 najua zote zina OS ya android Lakini sijui ubora wa kila Simu hapo naomba Maoni Yenu Wadau thankx.
subiri chief-mkwawa anakuja!wadau wa haya mambo nvp????
wadau wa haya mambo nvp????
Samsung galaxy unathaminisha na tecno???kweli wabongo ugonjwa wenu umefika pabaya
Angukia Samsung arif.... Tecno labda niwe na matatizo ya afya ya kichwa ndo ningekushauri kununua
pitia specifications za sg pocket na tecno n3 kisha zilinganishe,
angalia camera mp,ppi density,speed na vingine utavikuta huko huko
ukinunua samsung basi nunua 5302 utapata faida ya kutumia simcard mbili kwa tofauti ya sh 30000 tu.kaka nimejaribu kuangalia Sifa za phone zote mbili But kidogo nimeona hii Tecno N 3 ipo vyema kiasi sasa sijui kwa walio wahi kuzitumia simu hizi.