Help please! tecno tv 20

Help please! tecno tv 20

MUFINDI BOY

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
241
Reaction score
59
wanajamvi naomba msaada kwa yeyote anaeweza nisaidia jinsi ya kufungua simu yangu ya tecno kila nikiwasha inataka phone password kuna dogo alikuwa anatumia kaweka password ambazo hata yeye hazijui. simu ni tecno tv20... natanguliza shukurani!
 
mkuu hebu andika 1234 ikigoma tena jaribu 0000,mimi mwenyewe ilinizingua na tatizo ka lako mpk ikaja kugomea line so nkaamua kuiweka pending kwa kununua phone nyngne
 
Ni smart phone au? Inatumia os gani
 
mkuu hebu andika 1234 ikigoma tena jaribu 0000,mimi mwenyewe ilinizingua na tatizo ka lako mpk ikaja kugomea line so nkaamua kuiweka pending kwa kununua phone nyngne

mkuu hizo zote nmejaribu bado inasema wrong password
 
siyo smartphone ni tecno ya kawaida tu .

.
We kaa na dogo wako akueleze alifanyaje ok
.
Unapo ingiza password lazima i promt uingize tena kwa mala ya pili....
Sasa kama ni dogo lazima akosee ile option ya pili ataingiza tofauti
.
Ataambiwa does'nt match
.
Kweli inakuingia akilini kwamba dogo huyo akumbuki password alizo weka....
.
Kama yupo level ya kujielewa mpe kipigo lazima atasema alivyo fanya....
.
Na either anataka wewe uiache hiyo simu ukanunue nyingine baadae akuambie kaka naomba ile simu mbovu.....
.
We utamuuliza ya nn atakuambia nataka niitumie tu nimulikiage ...
.
Utakapo mpa atakaa kama wiki atakuambia kaka nimeweza leo...
.
We si umenunua nyingne bwana itakubidi umuachie tuu...
.
Hebu tumia akili yako ww mpae kipigo am sure atakumbuka tu huyo
.
Watoto wa kawambwa hao
 
Ahahahahh Nimependa huu ushauri aiseee.
 
aisee hongera kwa ubunifu nimecheka sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom