Help please: Pilot scholarships

Help please: Pilot scholarships

Living allowance per month ni ndogo sana Wanatoa 4060 HUF ambapo ni sawa na tshs 36,200/-
Ingia kwenye website yao kiongoz, ni 40,600 sio 4060. Dah mkuu yan unasoma kipengele kimoja tu unakata tamaa, soma kila kitu ndio ufikie maamuzi
 
ni 40460 HUF Ambayo ni kama laki 365,350 tshs per month but bado ndogo sana mkuu
 
Tatizo iyo chance ya kupata jeshini ni ngumu sana

Kama una vigezo utapata na hao niliokutana nao mm ni form 6 graduates walioenda jeshini miezi mitatu zikatoka nafasi baada ya matokeo waka apply wakapata full hulipi ktu
 
Tatizo form 6 nimemaliza muda sana since 2012
 
Back
Top Bottom