Ntashangaa sana ukimsamehe.
Unatakiwa ujue kuwa hukuzaliwa nae huyo mme kutana duniani bahati mbaya tuu, hivyo unatakiwa kuchukua maamuzi magumu hasa mtu anapo kiri kukisaliti makusudi.
Tatizo lako unafikiri uwezi kuishi bila yeye na anajua hilo ndio maana ame kusaliti na amekuja kukwambia na mkwara juu wa kujiua.
Na kuhakikishia ukimwambia unamuacha ataanza kukubembeleza badala ya kujiua kama alivyo sema.
Usikubali kupumbazwa na maneno na vitisho vya kujiua muache aende.
Usiogope kuumia muache na usipofanya hivyo ataendelea kukusaliti huku akijua huto muacha maana unajua atajiua.