Help me how to get email notifications in my phone

Polisi

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,082
639
Wakuu, poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa. Na waliopo safarini loliondo poleni sana. Naomba mnisaidie ili niwe napata email notification kwenye cm yangu NOKIA E61i. Nimejaribu setting zimenishinda. Kuna mambo ya incoming na outgoing mails, pop3, ima4 n.k. Mwenye ufahamu anisaidie ili niwe nasoma emails kwa wakati mara tu zinapoingia.
 
Weka software hii kwenye cm yako System_SEVEN_Push_Email
utapata mail zako zote real time wala huhitaji kujuwa pop3, unatakiwa kujaza id yako na password tu.

hata hii sio mbaya profimail 270 hii setting utapata link ya chini hapo

kama unahitaji ku-config mwenyewe http://twilightwap.com/forums/oku2_2.asp?sid=baHHuW803317943&forum=s60&id=474957&tt=43Email Pop3 Setting
 
Mkuu asante sana! Nimefanikiwa kwa maelekezo yako. Ilikuwa ni kiu yangu ktk matumizi ya simu yangu nokia N95! Ubarikiwe.
 
Naombeni msaada notification zangu zinakuja kwa njia ya email naomba kujuzwa jinsi ya ku seti ili notification zije kwa njia nyingine yaani ije kama ki bar cha alert
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom