Help me guys to unlock this modem

Epicauta elbovitata

Senior Member
Mar 19, 2012
143
19
Za asubuh wakubwa..nina modem ya sasatel ya huawei mobile broadband na nilikua naomba kuna way ya kuiunlock itumie lain nyingine naomba mnisaidie..help will be very much appreciated
 
Sasatel, ttcl na zantel wanatumia tekinolojia moja ambapo unaweza wapelekea wakakufanyia utaalamu ila mtaani ni ngumu.
 
Kama kuna sehemu ya kuwekea line nenDa pale zantel wakuuzie CDMA line....bei nadhani ni tsh 10,000/=
ila kuhusu kutumia tigo,voda au airtel hilo sahau mkuu
 
Kama kuna sehemu ya kuwekea line nenDa pale zantel wakuuzie CDMA line....bei nadhani ni tsh 10,000/=
ila kuhusu kutumia tigo,voda au airtel hilo sahau mkuu
Zantel haipatikani sehemu sehemu mkuu!! bora amtafute wa kumsukumizia hiyo modem then anunue inayochakachuka mkuu
 
Za asubuh wakubwa..nina modem ya sasatel ya huawei mobile broadband na nilikua naomba kuna way ya kuiunlock itumie lain nyingine naomba mnisaidie..help will be very much appreciated

Hi ni nini huawei yako mfano? Unaweza kutembelea tovuti hii Unlocking4u.com hapa unaweza kupata kanuni kufungua na kufungua huawei yako mfano kwa urahisi. Ili kupata code una zilizotajwa ambayo nchi imefungwa sasa, mtandao wa mtoa na IMEI idadi. Kisha wao kutuma kufungua code kupitia barua pepe.
 
Back
Top Bottom