NATANGULIZA SALAMU KWENU WAKUU.
pc yangu inakabiliwa na changamoto ni window 7 lakini theme yake imekuwa bank(black) na inaonesha kuwa sio genuine tafadhali naomba msaada na kuelekezwa namna ya kupata genuine window 7,ikiwa free nitafurahi sana,.
ninawashukuru kwa mara nyingine tena!