Sijui wamekusikia ila nadhani wamesikia hasa huyo mtoa maada umeomgea jambo zuri sana,muda mwingine wanawake hii ya 50%-50% itavunja ndoa za wengi huku wakizipenda mtu unamuita baby halaf nguo za ndani za baby wako hutaki kufua unataka nani amfulie baby wako unafikiri wakimuona baby wako ni mchafu watamuangalia nani? halafu hii ya 50%-50% mbona huanzia ndani wakati mtu ameolewa kwanini isianzie kwenye process yaani hata mahari iwe hivyo hivyo mambo ya harusi iwe hivyo hivyo naona wanaharakati hilo wamelisahau wangepigania na hilo kwamba kama ni mahari wachangie upande wa mume na wa mke,nakunuuu tena maana nimepapenda hapa"Siyo kwamba mwanamke anamfanyia mwanaume bali anafanya kwa ajili ya wote........kwa tunaopenda waumezetu wawe smart kwa ofisi lazima tuhakikishe wamevaa nguo safi na zilizopigwa pasi" kwa ambao hawapendi ndiyo hao hata kupika atataka anapo kata kitunguu mume akate nyanya na kuonja waonje wote sasa sijui kama mtu atasifiwa kuwa umepika chakula kizuri maana wote mlikuwa jikonivikizidi ndio kero lakini vitu vingine waweza vifanya kwa mapenzi tu. kuna mambo mengine sio kwamba mwanamke anamfanyia mwanaume bali anafanya kwa ajili yao wote, mfano.. chakula nitachopika sio nimempikia bali nimepika ili tule. kwa tunaopenda wanaume zetu waende smart kwa ofisi lazma tuhakikishe wamevaa nguo safi na zilizopigwa pasi.
Ahsante kwa kutupa a credible sourcePlease credit the source: https://www.facebook.com/DailyNation/posts/10151916566362503
I am a newly-wed and I am already having problems with my husband, for the simple reason that I refuse to do things like washing his underwear, polishing his shoes and ironing his clothes. I believe he can do these tasks for himself since he is a grown man, but he insists that it is my duty as a wife to do them for him. He says that I am hardheaded and that I'm going against the biblical commandment ordering wives to submit to their husbands. Did I get married to become a slave? Please give me an amicable solution for this issue.
#Rachel
I did some things for my husband with delight. I loved to wash for him, iron, scrub the floors and cook even with a househelp around.
It feels heavenly to know that you are taking good care of your man.
Subiri apate mwanamke amfanyie vyote ivo na mbwembwe kibao uone kitachotokezea...kaa na uzungu sijui ustaarabu wako usije kulia tu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums[/QUOTE
Anajifanyaa tu hapa sasa sijui anataka nan afue boxer za mmewe wakati raha anaipataa yeyee,labda Farkhina umsaidiee
Hahahah atapata tu wasaidizi mwache....mie nna wangu ati
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
I love you girlie...
Nipishe mie. U aint getting -----.
Issue kama hiyo anaweza kukusaidia wewe unanyoosha yeye anabrash viatu vyake,nadhani hata ww unajisikia raha mpenzi wako anapopendeza uongo.....sasa angalia mtoa maada et nguo za ndani za mume wake hataki kufua kunyosha nguo pia hataki hizo kazi ataachiwa house girl halaf baadaye huyo dada atakuja kulalamika hapa mume wake anatembea na house girl.....naomba niulize tu swali dogo hivi mnapopigania haki sawa na mahouse girl huwa mnawaangalia? au wao kwenye hili hawahusiki? maana hizo kazi kama mke amegoma zigo linamuangukia house girlDaudi1...sawa tumemsikia husninyo
ila ishu km ya kumpigia shoe polish nayo mme anasubir had wife afanye jmn loooh...
Mloolewa ndo mambo hayo??
Husninyo, umenichekesha sana... Kukatika nako kazi....wewe nawe, kuosha hiyo pichu yake tu huwezi, je kumkatikia kitandani utaweza kweli?
....unajitambua sana mungu akujalie zaidiFanya tu mamangu ndio ndoa hiyo, siku moja moja muombe akusaidie hasa kupiga pasi na kubrash viatu
....mmmmh mbona leo mmebadilika sana...nlijua mtamsapoti manawewe nawe, kuosha hiyo pichu yake tu huwezi, je kumkatikia kitandani utaweza kweli?