Help how to download online videos

g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
407
49
Kuna tuitorial flani ya blender nimeikuta kwenye site yao, natamani niwe nayo ila nashindwa namna ya kuidownload kama unaujuzi jinsi gani naweza kuipata naomba msaada wako

SHUKRANI.
 
Mkuu GNN sasa mbona unakuwa msiri hivyo kama vile ni zile "tutorial za kuongeza idadi ya watu na kuijaza dunia" . weka link ya hiyo tutorial watu watakueleza namna ya kuipakua au softare gani utumie
lakini nahisi unahitaji software kama IDM au uttorent
 
Kuna idm kama alivosema mtazamaji but kuna ways nyengine kama hizi

online video downloader
Paste link yako hapo juu then itadownload hio video kawaida

Another way kuna website inaitwa file2hd.com hii kazi yake ni kujua mafile yote yanayopatikana kwenye page, pia unaweza kupaste link na kupata real link
Mfano kama ni flash video itaishia na .flv na kama ni flash game itaishiwa na .swf

I hope itasaidia
 
IDM iko poa sana..mi ndo naitumia..inaaccelerator yake so inadownload fasta
 
Mkuu GNN sasa mbona unakuwa msiri hivyo kama vile ni zile "tutorial za kuongeza idadi ya watu na kuijaza dunia" . weka link ya hiyo tutorial watu watakueleza namna ya kuipakua au softare gani utumie
lakini nahisi unahitaji software kama IDM au uttorent

sawa mkuu ila soma la kuweka link sikulielewa vyema but i will try ma level best niliweze ngoja ni work out na post za wadu wengine.
 
Mkuu GNN sasa mbona unakuwa msiri hivyo kama vile ni zile "tutorial za kuongeza idadi ya watu na kuijaza dunia" . weka link ya hiyo tutorial watu watakueleza namna ya kuipakua au softare gani utumie
lakini nahisi unahitaji software kama IDM au uttorent

sawa mkuu ila soma la kuweka link sikulielewa vyema but i will try ma level best niliweze ngoja ni work out na post za wadau wengine.
 
Kuna tuitorial flani ya blender nimeikuta kwenye site yao, natamani niwe nayo ila nashindwa namna ya kuidownload kama unaujuzi jinsi gani naweza kuipata naomba msaada wako

SHUKRANI.

Mimi nakushauri udownload na uinstall real player. itakusaidia kudownload video na audio yoyote online
 
sawa mkuu ila soma la kuweka link sikulielewa vyema but i will try ma level best niliweze ngoja ni work out na post za wadau wengine.
Ok Gnn

Nimeziona hizo video Youtube na naona Hiyo option aliyoukshauri Chief mkwawa ya Free Download from Rapidshare, FileFactory. Free Download Videos from Youtube, Google, Metacafe - SaveFrom.net ndio way to go. Hata hizo video unazoona kweny site ya blender ziko hosted youtube

Moja wapo ni hii

So zaidi ya hiyo njia ya chief wadau wengine wanaojua njia bora ya kuowload video za youtube wanaweza kukupa altenatives
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom