help help on nokia x2-02

Ayusema

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
549
189
Hey wadau msaada!
Nili update software ya Nokia x2-02 to v 11.62 then baada ya hapo nikipigiwa simu inakuja namba hata kama namba nimesha save mpaka uanze na 255 what to do.?
 
possible cause zinaweza kua hizi.

1.contact zimejiduplicate yani kila contact iko mara mbili jaribu kuangalia unaweza kuta kwenye simu zipo na line zipo. Add contact mpya mwambie akupigie uone.

2. Inawezekana hio firmware labda ndo ipo hivo so izowee na jaribu kuchange no zote zianze na 255
 
Back up simu yako halafu reset hiyo simu factory default
itafuta kula kitu kwenye simu
Baada ya hapo restore back data and contacts toka kwenye backup

It is recommend to reset to factory settings after updating any device firmware
 
chief-mkwawa hata browser yake now hairespond au ndo mpaka nikaiflash...????
 
chief-mkwawa hata browser yake now hairespond au ndo mpaka nikaiflash...????

Mnhh hapo ukimpelekea fundi mpuuzi atakuharibia maana ni latest firmware itahitaji ujuzi nakushauri fanya hard reset kwanza

Backup vitu vyako then zima simu washa huku umeshikilia button hizi (cha kupigia simu na namba 3 na nyota (*))
 
baada ya kufanya hard reset ita respond vp??? au itawaka kawaida???
 
baada ya kufanya hard reset ita respond vp??? au itawaka kawaida???

Itawaka kawaida kama itauliza security code ni 12345 na itauliza region iambie tanzania thats all.

Sjawah format hio simu naongea from experience ya nokia nyengine
 
Hey wadau msaada!
Nili update software ya Nokia x2-02 to v 11.62 then baada ya hapo nikipigiwa simu inakuja namba hata kama namba nimesha save mpaka uanze na 255 what to do.?

Ka haujafanya hy hard reset! Jaribu na hii, badili majina ka umesave kwenye middle name kwenda kwenye first name, au ka simu yako ina option ya kusoma first name na middle name weka option hy.
 
Ka haujafanya hy hard reset! Jaribu na hii, badili majina ka umesave kwenye middle name kwenda kwenye first name, au ka simu yako ina option ya kusoma first name na middle name weka option hy.

ina option mbili tu ya first name and last name.......
 
Back
Top Bottom