HELP: Can I Install Windows in a tablet?

HELP: Can I Install Windows in a tablet?

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
3,811
Reaction score
1,607
Nimeona baadhi tablets kama HP Slate2 ambayo tayari in Windows 7. Je naweza kuinstall Windows kwenye tablet ambayo hainayo tangu awali?
Natanguliza shukurani kwa michango na misaada yenu.
 
inategemeana na tablet, kama tablet ina intel or amd processor inaweza kuwa possible ila kwa tablet inayo run ARM Processor sio possible maana windows haijawa developed kurun kwenye ARM. Ukitaka windows tablet ya ARM subiria huu mwaka kuna tablet za windows RT zitatoka.
 
. Ukitaka windows tablet ya ARM subiria huu mwaka kuna tablet za windows RT zitatoka.
sorry mkuu, lakini windows walisema hawatengeneza windows 8 ya ARM. unaweza install windows 7 kwa tablets za ARm kwa kaujuzi kidogo
 
sorry mkuu, lakini windows walisema hawatengeneza windows 8 ya ARM. unaweza install windows 7 kwa tablets za ARm kwa kaujuzi kidogo

mbona walishaanza kutengeneza na itatoka pamoja na windows 8, sasaivi ipo kwenye majaribio. Soma hapa kwenye blog yao http://bit.ly/wgdpNM
 
asante leojames kwa link. nimesoma na ndio microsoft wanatengeneza windows 8 for the arm processor. ila ukisoma hio blog kwa umakini, utaona kwamba sio windows 8 bali ni port ya 8 kutumika haswa na arm. ni sawa na kusema ni wm8 kwani wanavyosema, itakuwa imenyonga win32 legacy kwamba hamna cha desktop na apps zitakuwa signed na kutoka only kwa store zao. hii ni kuonesha kuwa wataifanya mobile zaidi. ila nivizuri kujuahawasahau arm
 
Back
Top Bottom