help #ACTURIAL SCIENCE

Sijui kama UDSM wameanza kutoa degree ya Actuarial Sciences but kama hujui Maths please usiingize mguu huko....

Nimeskia ina miaka 2 sasa apo udsm na niko njema maths ndo maana naulizia more details ili Mungu akiniwezesha ntaka nipige io kitu
 
Back
Top Bottom