Fb vp hutembeleagi?Naitwa Jose Nipo Daslam nafurahia kujiunga humu
Kwani niliufahamu tangia mtandao huu
Hivyo sasa nimeamua kuomba kujiunga na JF, Nashukuru kujumuika na nyinyi wapendwa.
Karibu sana
Unafanyia kazi kituo gani cha mafuta?
Karibu sanaNaitwa Jose Nipo Daslam nafurahia kujiunga humu
Kwani niliufahamu tangia mtandao huu
Hivyo sasa nimeamua kuomba kujiunga na JF, Nashukuru kujumuika na nyinyi wapendwa.
Hahahaha dogo unaambiwa weka # ya simu unaweka kweli!!!from now angalia sana muenendo wa comments zako humu zitakazokuwa na mrengo wa siasa kuna watu kukupoteza hawaoni tabu.0769571016
Hahahaha dogo unaambiwa weka # ya simu unaweka kweli!!!from now angalia sana muenendo wa comments zako humu zitakazokuwa na mrengo wa siasa kuna watu kukupoteza hawaoni tabu.
au sio unapenda picha picha eeenh sawa utatufaa sanaa maana tunapenda habari na picha.Nop nimekuwa nikitekwa na vitu vingne
Alafu nimekuwa nikipuuza napenda infor na pichapicha.
Huyu ni lile zao la FFFFFFFFFFFFFFFFFFFFFFF kama zote