Jamani mimi ni mwana jami mwenzenu
Nimevutiwa na jukwa hili ndo maana nimeamuwa kujiunga
Ni pokeeni
Ila naomba kuwauliza Watanzania wenzangu: Hivi TANESCO ni shirika la kusambaza umeme
Nchini au Ni shirika la kusambaza giza Nchini maana hawaeleki na huu mgao wao kila siku??????