Hellow ,

Uzi wako sijui umefutwa na mods lakini nimeona mchango wangu usipotee hivihivi.
.
Imani yako ndio itakuponya mzee wangu, kwa kuwa unaonyesha unako kaimani kakupona nakushauri umtembelee mtumishi wa Mungu anaitwa Prophet Frank Julius Kilawa ana kanisa lake Tanga hata Dar es salaam.
.
Tembelea Facebook kisha tafuta Shiloh ministries Tanzania utapata maelezo zaidi nimeona akitenda hayo ila hajawahi kushauri waathirika waache dawa hadi confirmation ya daktari aliyekwambia umeathirika ifanyike.
.
Pia waweza kumtembelea mtumishi wa Mungu Nabii G.B MALISA huyu anapatikana Mwanza pale utapokea ufunguo au kuonyeshwa njia ya kutatua tatizo lako.
.
Kuna mzee wa upako Mchungaji Anthony Lusekelo tafadhali usimbeze au habari za kwenye mitandao zisikutoe kwenye reli huyu atakusaidia sana kwa kukulisha maneno ya uzima ana muda mrefu sana hajafanya maombezi ya uponyaji ila maneno yake yana nguvu amini hivyo.
.
Mwisho ni mtumishi wa Mungu Pastor Ciza Masisi anapatikana Ukonga staki shari akishirikiana na Apostle Oscar hawa ni waalimu wa imani pale hutapewa mafuta, kitambaa wala maji utapewa neno tu na hakika Mungu utamuona.
Pia wana huduma yao Morogoro ukishindwa kufika dsm basi wasubiri kuanzia mchana wanakuwepo Morogoro.
Wana TV yao inaitwa TOP TV pia Top radio
Pale ni neema juu ya neema .
.
Niwie radhi kwa andiko refu kidogo mimi nilikuwa naroho ngumu sana roho ya kikatili sitaki kusikia habari za kanisa nadharau watumishi wa Mungu kwa kuwasikiliza tu wale kipitia TOP tv ahahahaha mkono wa bwana nimeuona
 
Back
Top Bottom