we mkarimu sana wewe
sosoliso hali yangu taabani na ndio maana nimepunguza muda wa kuingia jukwaani... Kama utakumbuka vizuri 28th Dec 2012 tulienda Tanga na mume wangu Filipo hakucheza mbali akafanya kweli.. Sasa niko kwenye dakika za majeruhi... any time nitawaletea Filipo junior......... Mume wangu yuko bega kwa bega na mimi , tunaomba mtuombee tumalize hii safari salama..... cc Arushaone na wengine
sosoliso bana! majungu muanzishe nyie, kusema niseme mie! Mbona majanga!
sosoliso bana! majungu muanzishe nyie, kusema niseme mie! Mbona majanga!
habari zenu wakuu!! nimevutiwa na post zenu sana na ninaomba kukaribishwa ndani ya jukwaa la chitchat.
wenu mtiifu tinna cute.
me nina ndoa moja tu humu cc!!!!!
Mwenye mali niko hapa pembeni... Msitake niombe usaidizi kutoka kwa white widow[/QUOTE]
Please don't shem.....!!!
Huwezi kuolewa bila kukaguliwa!!
Hiyo ndoa ni batili!
Karibu chiliwo!!!!
heeeee!!!
@filipo mume wangu ana nini et??ii!!cc Lady doctor & Chocs..
Habari ndio hiyo!
Embu njoo basi jamani! mbona unakuwa hivyo!?