Hellow wana cc

Hellow wana cc

habari zenu wakuu!! nimevutiwa na post zenu sana na ninaomba kukaribishwa ndani ya jukwaa la chitchat.
wenu mtiifu tinna cute.

Karibu sana hapa Chitchat....lakini kuna ada ya ushiriki wa hili jukwaa...je upo tayari kutoa??
 
nipe maelekezo tu!!! ndo maana nimegonga hodi kwa wenyeji wangu!!.
 
If you can read this, you have a strong mind ~
7H15 M3554G3 53RV35 7O PR0V3 H0W 0UR M1ND5 C4N D0 4M4Z1NG 7H1NG5! 1MPR3551V3 7H1NG5! 1N 7H3 B3G1NN1NG 17 WA5 H4RD BU7 N0W, 0N
7H15 7IM3 Y0UR M1ND 1S R34D1NG 17 4U70M471C4LLY W17H0U7 3V3N 7H1NK1NG 4B0U7 17, B3 PROUD! 0NLY C3R741N P30PL3 C4N R3AD 7H15. Like if you read it well and welcome on board tinna cute ila chunga sana huu mji una wajanja wengi akiwepo watu8.

CC figganigga.
 
Last edited by a moderator:

thanx kwa kunipokea, Wasikupe shaka hao me mwnyw kajanja janja mziki wangu spidi 120 watausoma tu!!!
 
Last edited by a moderator:
unamaanisha nn?? au ndo naingizwa mjini mie!!!

Karibu sana, ukiwa huku hapo juu huwa tunaandika "nini?" na sio "nn?" Kuwa makini na magumegume wa huku,utawaona tu kwa maandishi yao ya mbwembwe, kama huyo hapo juu aliyechanganya herufi mwambatano na tarakimu..
 
nitake radhi tafadhali mwenyekiti... Huwezi kumuita mume wangu gumegume mbele yangu
 
Wakati namuita wewe hukuwepo... afu umefuata nini huku ilhali bado unaumwa!? sukari na presha vitapanda bure...! hebu twende nje tukaongee kidogo..
 
Back
Top Bottom