Hao mashoga zako kwa jinsi ulivyowa describe ni type ya mashauzi classic af wanakuwaga wabovu kinyama(mange kimavi et.al,,,).Watu wa maigizo kwenda mbele mpaka reality imewaacha mbali ndio wanajistukia eti wapo lonely, waambie wakaolewe na ma HB waliowaonaga wa maana kipindi umri unaruhusu tumbav!!!
Hapa ni mwendo wa free Mbupu tu mpaka Yesu arudi!!! Hakuna uchi wa mchezo,