Wonderful JF-Expert Member Apr 8, 2015 7,347 5,984 Dec 22, 2015 #3 dabo said: asante na wewe pia Click to expand... Si kweli.....
Daby JF-Expert Member Oct 26, 2014 33,647 75,837 Dec 22, 2015 #4 Wonderful said: Si kweli..... Click to expand... Ni kweli.....
KIOO JF-Expert Member Mar 3, 2013 6,160 5,741 Dec 22, 2015 Thread starter #5 dabo said: asante na wewe pia Click to expand... Asante mkuu sote pia.
Daby JF-Expert Member Oct 26, 2014 33,647 75,837 Dec 22, 2015 #6 Wonderful said: Si kweli..... Click to expand... Wonderful unamaanisha nini kusema si kweli! !! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
KIOO JF-Expert Member Mar 3, 2013 6,160 5,741 Dec 22, 2015 Thread starter #7 Wonderful said: Si kweli..... Click to expand... Kweli ni ipi sasa ndugu...?.
KIOO JF-Expert Member Mar 3, 2013 6,160 5,741 Dec 22, 2015 Thread starter #8 dabo said: Ni kweli..... Click to expand... Labda angetuambia ukweli ili tuone upeo wake wa kufkiri umeishia wapi mkuu...!.
dabo said: Ni kweli..... Click to expand... Labda angetuambia ukweli ili tuone upeo wake wa kufkiri umeishia wapi mkuu...!.
Daby JF-Expert Member Oct 26, 2014 33,647 75,837 Dec 22, 2015 #9 KIOO said: Labda angetuambia ukweli ili tuone upeo wake wa kufkiri umeishia wapi mkuu...!. Click to expand... Haha...atakuwa kapanic hakuna namna nyingine. Au anaota
KIOO said: Labda angetuambia ukweli ili tuone upeo wake wa kufkiri umeishia wapi mkuu...!. Click to expand... Haha...atakuwa kapanic hakuna namna nyingine. Au anaota
Wonderful JF-Expert Member Apr 8, 2015 7,347 5,984 Dec 22, 2015 #10 KIOO said: Labda angetuambia ukweli ili tuone upeo wake wa kufkiri umeishia wapi mkuu...!. Click to expand... KIOO said: Kweli ni ipi sasa ndugu...?. Click to expand... dabo said: Wonderful unamaanisha nini kusema si kweli! !! Click to expand... Najua basi? Mie nimesema tu hivyo!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
KIOO said: Labda angetuambia ukweli ili tuone upeo wake wa kufkiri umeishia wapi mkuu...!. Click to expand... KIOO said: Kweli ni ipi sasa ndugu...?. Click to expand... dabo said: Wonderful unamaanisha nini kusema si kweli! !! Click to expand... Najua basi? Mie nimesema tu hivyo!!!
einstein newton JF-Expert Member Oct 18, 2015 1,969 2,674 Dec 22, 2015 #11 Your God smile? so What About Atheists?
KIOO JF-Expert Member Mar 3, 2013 6,160 5,741 Dec 22, 2015 Thread starter #12 Wonderful said: Najua basi? Mie nimesema tu hivyo!!! Click to expand... Ooh okay, kumbe hujui mkuu. Mi nlidhani unajua unachokisema kiongozi. Basi vizuri ndugu.
Wonderful said: Najua basi? Mie nimesema tu hivyo!!! Click to expand... Ooh okay, kumbe hujui mkuu. Mi nlidhani unajua unachokisema kiongozi. Basi vizuri ndugu.
KIOO JF-Expert Member Mar 3, 2013 6,160 5,741 Dec 22, 2015 Thread starter #13 einstein newton said: Your God smile? so What About Atheists? Click to expand... Sijui ulikuwa umeelewaje mkuu. Je, kwa kila unalofanya MUNGU ANAKUONA kumbe nae ana macho pia...?. Au ?.
einstein newton said: Your God smile? so What About Atheists? Click to expand... Sijui ulikuwa umeelewaje mkuu. Je, kwa kila unalofanya MUNGU ANAKUONA kumbe nae ana macho pia...?. Au ?.