Hellow JF! Mambo iko Tarangire

Mami hujambo, na wazazi je? Hivi ni macho yangu au umeomba mtindi hapa? Presha inapanda ajabu.

my dear kuliko kukupandisha presha bora nife,wazazi hawajambo wananiuliza 'mwenzio'tutamjua lini.
i miss you soo much,
mbali na kukimiss cjambo kabisa.
wewe je,
 

Kijana kumbuka kuwa na heshima na adabu kwa mke wa mtu.
Huyo shosti nimetoka kuchinja nyani juzi kati tu pale yaeda chini halafu wewe unaanza kutafuta network!
Preta usije kunisaliti na hivi vitrip vya siku moja Tarangire, mwenyewe unajua Serengeti ilivyojaa maajabu.
 
Ukipitia hapo Abuu Dhabi mm kanzu na barakashia usinisahau
acha kwanza niitimize ile'ahadi kitiririko' kwanza kabla sijapromise jengine.hata hivyo nikienda kumsalia Niliham nitarudi na zawadi zangu tu alizonipatia shosti wangu.
bila hofu naamini hujambo lkn.
 
acha kwanza niitimize ile'ahadi kitiririko' kwanza kabla sijapromise jengine.hata hivyo nikienda kumsalia Niliham nitarudi na zawadi zangu tu alizonipatia shosti wangu.
bila hofu naamini hujambo lkn.

Dah mm nipo mzima kabisa

Ngoja tuwaombee hao wa mbugani wasije furumishwa na Simba bure

Sipati picha Wiselady ukitolewa baru na fisi sijui utakimbiaje?
 
Dah mm nipo mzima kabisa

Ngoja tuwaombee hao wa mbugani wasije furumishwa na Simba bure

Sipati picha Wiselady ukitolewa baru na fisi sijui utakimbiaje?

Mbele ya fisi hata David Rudisha haoni ndani kwa Wiselady.
 
kuleni raha wakuu wengine ratiba ziligongana.. have maximum enjoyment
 
Kujitolea ni issu sana mkikutana na SIMBA kalala basi moja ajitole kumuamsha...
 
Msisahau kuniletea ulimi wa simba mganga wakienyeji kanituma na macho ya Rhino.

Nilikuwa sijapata net but now nimekaa vizuri nakuletea vingine vizuri ambavyo ni vya masharti nafuu maana si unajua kuwa shehe Yahaya hussen amefukuzwa moroni atakupunguzia bei uwe kama mkwere utashinda mama
 
Pls PRETA usikubali kuvaa SHANGA hizo kuna nyingine nzuri zaidi zipo!!!
Nakuja nazo leo nipo na GUTA langu njiani 2tamit huko mida ya jion!!

Pole kaka maana huyu mtoto kashakolea na hataki hata kukusikia mbona unaleta mbu kaka hakuna rufaa hapa pole we
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…