Hellow JF! Mambo iko Tarangire

Aisse mnanitia wivu tu... Kamateni Zebra ili tupate nyama choma basi.... Havu funi every bodi..
 
kuja nitakuja atakapojalia Maanani,sikuweza kuwa nawe kwa sbb zilizo nje ya uwezo wangu,lkn inshaalah one day yes!Yote tumuachie Mungu atatuwezesha kukutana hata kama sio ktk xmas.
mama weee ninavyopenda dhahabu lazima nikwee pipa nije 'dubei'.asante shosti wangu.
 
Nina hamui na wewe nilikukosa ulipokuja Arusha habari zako zinaniwasha masikio ila siku sii nyingi ntakuwa hapo jijini ntajisevia kwa raha zangu Preta naomba usiangalie hii
haikupangwa iwe hivyo lkn ukija jijini usinisahau hata kwa ofa ya maziwa mtindi.
 

Haya yangu macho.
 
Haaaaaaa nadhani wewe ndo ulifaa kuitwa mchakachuaji.
 
Msisahau kuniletea ulimi wa simba mganga wakienyeji kanituma na macho ya Rhino.
 
Derimto hebu nichekie mama wa busara hapo nilikupa unilindie
 
Ngoja nichukue flight hapa mara moja niwai kuona shanga za Preta! Lol
 
Pls PRETA usikubali kuvaa SHANGA hizo kuna nyingine nzuri zaidi zipo!!!
Nakuja nazo leo nipo na GUTA langu njiani 2tamit huko mida ya jion!!

 
Petra mbona kimya! haya jamani salimieni Malaria Sugu lol! enjoy the trip!
 
Aisse mnanitia wivu tu... Kamateni Zebra ili tupate nyama choma basi.... Havu funi every bodi..

Hebu ngoja loner tulia kwanza tuko busy ncha kali anamsogeza tembo maana wamevunja miti barabarani swali na ngiri wamezidi sana kuna swali kaniuliiza preta hapa pembeni yangu kama mbuni hawa waliozagaa hapa wanazingatia uzazi wa mpango wana watoto wengi hatujawahi kuona tena
 
Wiselady usisahau paja la mwewe tu mm nalitaka jamani.
 

Ukipitia hapo Abuu Dhabi mm kanzu na barakashia usinisahau
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…