Hellooooo!

karibu!
Kama ni dada humu utapata karibu nyingi tuuu!
Pia uwe mwenye subira kwenye kuchangia hata kusoma uzi za wachangiaji.
 
Karibu sana @Shery hili jina umenikumbusha enzi zile za mwaka 1931 kulikua na nyimbo moja ya kikongo niliipenda sana hahahahahahaaa...lol.
 
Karibu kijana,vua viatu kungúta vumbi,kuna maji juu ya meza nawa uso,kaa kitini subiri upate maelekezo ila akija mtu na akakutusi sema AHSANTE!!!!!
 
Jamani nawashukuru sana wooote mlionikaribisha humu,na memberz wote.naahd kufata sheria,kuwa mvumilivu kama alivyosema ndugu yng 1,pia nki2kanwa ntajb ASANTE kama mlivyonambia.THANX U ALOT!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom