na mimi ni kama wewe mimi niko tanzania mwenzangu wapi?Natumai wote mpo shwari. Nimejiunga nipate kushiriki kikamilifu katika kushirikishana mitazamo. Tupo pamoja!!!!!
na mimi ni kamaNatumai wote mpo shwari. Nimejiunga nipate kushiriki kikamilifu katika kushirikishana mitazamo. Tupo pamoja!!!!!