Hellooo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hellooo

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Rosima, May 25, 2012.

 1. R

  Rosima Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Habari wapendwa,leo nifanikiwa kujiunga na jukwaa hili
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,841
  Trophy Points: 280
  karibu ila huku siyo pamchezo kuna changamoto zake.
   
 3. R

  Rosima Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Thanks, katika maisha hutakiwi kuogopa changamoto.
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Rosima mbona wewe kama mwenyeji?.... karibu sana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. R

  Rosima Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Sio mwenyeji but nimekuwa nikifuatilia post za humu kabla cjawa registered
   
 6. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135


  heheeh sweetlady bana.

  Karib Rosima, huyo hapo juu ndio sweetlady, bwawa la mtera likipungua maji yeye ndio anawasiliana na fire brigade wakuje kulijaza.

  karib
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahahahahaha i love you so much klorokwini ,na sitaacha kukupenda ije mvua, liwake jua, jf iwepo au isiwepo, masika au kiangazi lol....ujue huu mwandiko wa mgeni nimeufananisha na wa Husninyo lol...au wewe unaonaje?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe sweetlady sasa kama ndie si utanifukuzia sweetheart wangu tena bana.

  Mimi siku hizi nakesha jukwaa hili kumsubiria switihati wangu akuje na id nyengine nimpokee. Sasa wewe unataka kuharibu sherehe.

  Halaf hapo I luv u so much, na wewe i luv u so much too. Huku vin diesel hafiki eti au?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hata kama anafika hana neno manake nilishamwambia kabisa akitaka ndoa yetu idumu mpaka siku ya kiama aniruhusu nikupende wewe...ameniruhusu tena kwa maandishi ( ntascan nikutumie kwa e-mail).....hebu tumuulize huyu mgeni ni jinsia gani ili tujue kabisa kama ni switihati wako karudi kivingine.
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Rosima bado hujanishawishi, hebu jitetee tena.....afu uweke na picha yako kabisa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Si ndo maana nikampigia debe vin dizel bana, yule nitonye bana alipolegezewa jicho tu na sweetlady basi tena ikawa anatuwekea kauzibe mpaka sisi malegend, na ukirudiana na nitonye PM zako sjibu tena. lol

  Hivi unazani switihati anaweza akaja kivingine bila kukujulisha wewe swahiba wake na mimi switihati wake?
  Dah hawezi bana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Na ujue kabisa siku ukiacha kujibu PM zangu mapigo yangu ya moyo yatasimama hapo hapo lol....huyu wala sio swahiba bana nimejaribu kucheki mwandiko haufanani na wa swahiba....tuendelee kujiachia kwa raha zetu!
   
 13. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135


  Si umeona Rosima hata kuquote post hajui lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Mi yangu yanasimama ukichelewa kujibu post zangu tu. Utaniuwa sweetlady
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nimeona klorokwini, anaruka mstari ndio anajibu, huyu itakuwa anatumia daftari la mistari mikubwa na midogo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Toka lini mtu akamuua mtu anaempenda?.....hapa nasinzia lakini najitahidi kujibu ili usife darling klorokwini....silali mpaka ruhusa yako.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  kapumzike honey sweetlady , kuna siku nitakupatia sapraiz yako. luv u. tena uniote kwanza mimi kabla vin dizel.
  sweet dreams chwitii, mwenyewe pia acha nitimue. Si unajua nilibaki kwa ajili yako tu .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  OOOOh thanks my darling klorokwini......heheehehe naisubiria hiyo sapraizi lol.....wewe kwanza afu Vin Diesel ndio anafuatia.......uniote pia..... sleep tight honey!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Naona jukwaa limevamiwa!! Oya wee! Wapi Katavi na Ulimakafu. Anyway karibu sana mgeni, hii ndiyo JF bana. Usishangae shangae.
   
 20. u

  ulanzi mtamu Senior Member

  #20
  May 26, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  karibu sana jf ila uclete mambo yenu ya fb..
   
Loading...