Hello..

peangomuo

New Member
Sep 13, 2013
1
0
Habarini humu..
Nani anafahamu jinsi ya ku unlock smartphone inayotumia line moja esp. hizi Huawei
 
Habarini humu..
Nani anafahamu jinsi ya ku unlock smartphone inayotumia line moja esp. hizi Huawei

  • Kuna njia zaidi ya moja kuweza ku_unlock smartphone inayotumia laini moja
  • Njia ambayo ni salama na inapendekezwa kutumika ni ku_unlock hiyo simu kwa kutumia unlock Code /NCK codes zitokanazo na IMEI number ya simu husika.
  • Kwa maelezo zaidi pitia huu uzi upo hapa hapa JF
    Code:
    https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/515251-huduma-unlocking-phone-by-imei-number.html
Karibu
 
Back
Top Bottom