Hello

Hello

Dignah

Member
Joined
Jan 26, 2022
Posts
70
Reaction score
95
Habarini wana JF, Poleni na majukumu.
1. Natoa huduma ya kuandaa Deed Poll( Change of names) Kubadilisha majina yaliyopo kwenye vyeti kama yamekosewa

Cheti cha kuzaliwa
Cheti cha NIDA
Vyeti vya shule
Gharama zake ni 150,000 vinakuwa attested na Mwanasheria na kuwa verified kwa Registrar ( Msajili)

2. Pia napiga Copy ya vyeti muhuri ( Certify) Bei ni nafuu kwa idadi ya vyeti vyote ulivyo navyo, ila visizidi vyeti 10.

0629504117 Call au Whatsapp
 
Picha yako tafadhali. Ni muhimu sana kwenye kufanya hii biashara/kazi.
 
Fanya Faster Muomba Kazi Weka Pictures
Zako Wewe Na Ofisi Yako Ilipo
Tukitoka Simiyu Kwa Mama Tuje Tukuone Ukichapa Kazi
 
kuelekea uchaguzi mkuu oktoba 2025 muwe makini sana na huduma kama hizi zenye kuhitaji mawasiliano ya moja kwa moja ni hatari sana.
 
Kwani RITA au NIDA wanatoza sh.ngapi...?
naomba uelewe mada, mimi sitengenezi cheti cha RITA wala NIDA ila endapo kama ulitenengenezewa cheti chochote kati ya hivyo then kikakosewa jina ndio nakuandalia deed poll
 
Back
Top Bottom