hello | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hello

Discussion in 'Love Connect' started by ChidyBoy, Oct 29, 2011.

 1. C

  ChidyBoy New Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MIMI ni member mpya wa jamii forum kwa hiyo natafuta rafiki wa kike kwa ajili ya urafiki wa kawaida na pia awe anasoma chuo kikuu ili tubadilishane mawazo kuhusu masuala ya elimu.
   
 2. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  urafiki wa mashakaa...swala na simba
   
 3. v

  valid statement JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  kwanin usitafute rafiki wa kiume?
   
 4. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  karibu sana kaka...are u ready ku-post useful threads?...marafiki wa kike ni wengi tupo tuuuu.....i hope utaenjoy to b in jf,na kuchangia vyema nt only getting friends...lol!
   
 5. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ukiona hivyo,wa kiume hawana jipya ama hawana mvuto lol...mi natafta marafiki wa kiume,mimi ni msichana mfupi,mnene wa kutisha,mweusi tiiiiiin kama **** la chungu,naamini nitapata wengi wa kumwaga,msini-disappoint...teh teh teh,
   
Loading...