hello wana jf

karibu sana Mama Diana...Diana mzima? msalimie sana.
 
Mama Diana msaada gani tena?
 
Mama Diana msaada gan tena? Diana mzma? Mwambie nampenda.
 
Mama Diana vipi? Au Diana anashida? Sema nitamsaidia! 🙂
 
je baba Diana amesafiri ...?
 
Karibu mama diana mkaribishe na bac na baba diana nae kwa ajili ya ulinzi ili usipotee humu
 
Je Wewe Mama Collin umewahi kumkaribisha hapa JF? 🙂
Karibu mama diana mkaribishe na bac na baba diana nae kwa ajili ya ulinzi ili usipotee humu
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;
 
Mama diana amepotea hewani.
 
karibu sana ni msaada wa nini tena au baba Diana anakutwanga ngumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…