Hello to all of you!

Ibney

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
336
275
Habari zenu wana jf? Nimependa kujiunga na mtandao huu ambao nimeujua kitambo kidogo.
Pa1 sana
 
Karibu sana mgeni. Dharau za baadhi ya watu zichukulie poa utazoea tu
 
Ahsante sana. Ndo hvyo aisee penye wengi kuna mengi. Subira muhimu kwasababu maneno hayatoboi...
 
Poa,ukitaka mjibu mtu yoyote bonyeza neno reply kisha mjibu ili apate notification ajue kuna sehemu anahitajika.
Ahsante sana. Ndo hvyo aisee penye wengi kuna mengi. Subira muhimu kwasababu maneno hayatoboi...
 
Nimejaribu lakin haifanyi kaz, huenda kwa sababu natumia sim ndogo. Ahsante Numbisa
 
Back
Top Bottom